Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walaji wenyewe wako kwenye mbilinge za mgao tuWezi wa kura na madalali wa rasilimali za nchi kazini
Maandalizi ya Uchaguzi Mkuu yanazidi kupamba moto huku Vyama vikijipanga Kila kimoja Kwa staili yake.
CCM imeanza Kwa kushusha vyuma "Mabasi ya Youtong Upgrade piruuu tayari kukiwasha.
View: https://www.instagram.com/reel/DEEVNJIIaKq/?igsh=MXZiOHN6MXdpc2tqdQ==
View attachment 3185963
Swali.
Wale wengine akitoka mwamba ambae Huwa anawakodia helikopta watatumia nini?
Mali za CCM au ni pesa za kodi za hii nchi? hayo mabasi utakuta yamepita free bandarini pale wajinga nyieVyote hivyo vinahusikaje na Mali binafsi za ccm?
Toenj Kodi Ili Serikali ifanye hayo
ChawaHapo lazima nikamate Usukani wa Moja.kwa hakika watakao kuwa wanapanda lile ninaloendesha mimi watakuwa muda wote wanabubujikwa na machozi ya furaha kwa raha watakazokuwa wanapata ndani ya gari. Mziki kwa mbali ,mwendo safi.
Maandalizi ya Uchaguzi Mkuu yanazidi kupamba moto huku Vyama vikijipanga Kila kimoja Kwa staili yake.
CCM imeanza Kwa kushusha vyuma "Mabasi ya Youtong Upgrade piruuu tayari kukiwasha.
View: https://www.instagram.com/reel/DEEVNJIIaKq/?igsh=MXZiOHN6MXdpc2tqdQ==
View attachment 3185963
Swali.
Wale wengine akitoka mwamba ambae Huwa anawakodia helikopta watatumia nini?
ujinga wa wadanganyika, ni mtaji mkubwa sana wa wanasiasaMuda wa kusafirisha wapiga kura kutoka jimbo A kwenda B kuongeza mafuriko wakati barabara zenyewe kizungumkuti...mashimo yanaua watu kila kukicha
Maandalizi ya Uchaguzi Mkuu yanazidi kupamba moto huku Vyama vikijipanga Kila kimoja Kwa staili yake.
CCM imeanza Kwa kushusha vyuma "Mabasi ya Youtong Upgrade piruuu tayari kukiwasha.
View: https://www.instagram.com/reel/DEEVNJIIaKq/?igsh=MXZiOHN6MXdpc2tqdQ==
View attachment 3185963
Swali.
Wale wengine akitoka mwamba ambae Huwa anawakodia helikopta watatumia nini?
Nyie wala rushwa mmeshapuuzwa.Mnagawa rasilimali za nchi halafu mnazawadiwa mabati kisha mnashangilia zinawatosha kweli?
Kwa sasa UPDP ya Fahmi Dovutwa ina nguvu kuliko CHADEMADah! Ccm ni noma aisee! Mapeeemaaa wameleta vifaa vya kufanyia kampeni zao wakati wengine ndio kwanza wanapakana matope na kunyukana kwenye kugombea uenyekiti hawajanunua kifaa hata kimoja. Wengine watakurupuka mwishoni kwenda steshenari kuchapisha picha za mgombea wao too late wataishia kuambulia kura chache za kuchekesha. Hapa ccm ni kama inatangaza kuwa tayari imeshinda. Ongeza na pikipiki zilizotwa mapema sana na kuanza kumnadi mama kabla ya wakati. Sasa ni hivi, kama mbowe ataukwaa uenyekiti chadema na kuwa mgombea wa urais, au mtu mwingine huko chadema nje na Lissu, mama asitumie nguvu kubwa kufanya kampeni inatosha. ACT si kitisho sana. CUF nayo ndebendebe haileweki. Tayari mama ameshinda kwa muonekano wa mabasi hayo ya kufanyia kampeni
Hapana Umeputishwa weweKwani tayari Samia kapitishwa kugombea.
Mjinga ni wewe na waliokufikisha hapo.Mali za CCM au ni pesa za kodi za hii nchi? hayo mabasi utakuta yamepita free bandarini pale wajinga nyie
Wewe mbumbumbu, promotion ya viwanda sio jambo la overnightTiyali ajira zimeongezeka kule kwenye kiwanda cha Yutong China.Vijana wa Kichina wamepata ajira baada ya CCM kuagiza mabasi.
Hawa wajinga badala wa Promote viwanda vya ndani ndio kwanza na wao wana adiction za Importations then kwenye kampeni watakusanya wajinga na kuanza kuwahubiria Tanzania ya Viwanda.
Kuna Body zinatengenezewa Tanzania kama Dar coach nilitegemea CCM waonyeshe uzalendo na mfano wa Buy made in Tanzania, ila ndio kwaza na wao wamejaa ujinga na wana promote uchuuzu na kukuza uchumi wa China.
Kama zipi?Government resources converted into Political party's resources!!.....
Chopa utaziona tarehe za uchaguzi zikikaribiaKutoka Chopa hadi Yutong
CCM mbele Kwa mbele Chadema wanakunywa mbege 😄