HORSE POWER
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 2,238
- 1,577
Cha Cha Majambazi.Manunuzi kwa pesa za kijambazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna kitu kama hicho.Hiyo miradi Yao walijenga Kwa kutumia Kodi zetu.walitumia nafasi ya chama kuwa madarakani kujichotea Kodi za wananchi na kujenga miradi huyo unayoisema.Kiufupi Chanzo chake ni Kodi za wananchi.Tatizo ninyi machawa mkipewa elfumbilimbili mnaona ccm ni mzalendoKodi Yako na mali za ccm vinaingilianaje? Ukiacha ujinga huwezi umia.
CCM Ina vyanzo vyake na Mali zake ndio maana imeajiri maelfu ya wafanyakazi wake Kwa Rasilimali zake kuanzia
-Vyombo vya habari
-Majengo makubwa ya vitenge uchumi
-Shule
-Vyuo
-Maduka ya biashara
-Viwanja vya mpira nk
Mh Rais ,uchaguzi ukiisha , kwa heshima yako naomba unikabidhi limoja ila bila mashariti yoyote ,Maandalizi ya Uchaguzi Mkuu yanazidi kupamba moto huku Vyama vikijipanga Kila kimoja Kwa staili yake.
CCM imeanza Kwa kushusha vyuma "Mabasi ya Youtong Upgrade piruuu tayari kukiwasha.
Swali.
Wale wengine akitoka mwamba ambae Huwa anawakodia helikopta watatumia nini?
Mnawapa raslimali zote wachina, hadi biashara za wazalendo kama kamari, halafu nyie mnapewa Yutong!!!!!!! My foot! Nyie CCM mnajitambua? Hata yule aliyedai Uhuru yaani huko aliko atakua anapindua ubavu kwa ubavu halali vizuri. Walitunza nchi sasa imeachiwa kwa mbwa na ukoo wa panya. Really painfulKwa nini muwachinje?
🚮🚮Mnawapa raslimali zote wachina, hadi biashara za wazalendo kama kamari, halafu nyie mnapewa Yutong!!!!!!! My foot! Nyie CCM mnajitambua? Hata yule aliyedai Uhuru yaani huko aliko atakua anapindua ubavu kwa ubavu halali vizuri. Walitunza nchi sasa imeachiwa kwa mbwa na ukoo wa panya. Really painful
Hela zetu za wizi ndio mnaringia? Mnataka abaki huyo mliyemnunua ili mshinde kiubwete.Maandalizi ya Uchaguzi Mkuu yanazidi kupamba moto huku Vyama vikijipanga Kila kimoja Kwa staili yake.
CCM imeanza Kwa kushusha vyuma "Mabasi ya Youtong Upgrade piruuu tayari kukiwasha.
Swali.
Wale wengine akitoka mwamba ambae Huwa anawakodia helikopta watatumia nini?
Wala hiyo miradi haitoi hizo pesa, CCM wamenadi nchi kwa Wachina na Waarabu- Full StopHakuna kitu kama hicho.Hiyo miradi Yao walijenga Kwa kutumia Kodi zetu.walitumia nafasi ya chama kuwa madarakani kujichotea Kodi za wananchi na kujenga miradi huyo unayoisema.Kiufupi Chanzo chake ni Kodi za wananchi.Tatizo ninyi machawa mkipewa elfumbilimbili mnaona ccm ni mzalendo
Umemaliza kila kitu.Mnagawa rasilimali za nchi halafu mnazawadiwa mabati kisha mnashangilia zinawatosha kweli?
Kuanzia wewe kama dereva utakuwa unabubujikwa na machozi na abiria watakuwa wanabubujikwa na machozi ya furaha. Kaulimbiu itakuwa machozi yaendelee.Hapo lazima nikamate Usukani wa Moja.kwa hakika watakao kuwa wanapanda lile ninaloendesha mimi watakuwa muda wote wanabubujikwa na machozi ya furaha kwa raha watakazokuwa wanapata ndani ya gari. Mziki kwa mbali ,mwendo safi.