Pre GE2025 CCM yavunja ukimya, yashusha Yutong Bus "Kazi Iendelee" tayari kwa mapambano ya Uchaguzi Mkuu

Pre GE2025 CCM yavunja ukimya, yashusha Yutong Bus "Kazi Iendelee" tayari kwa mapambano ya Uchaguzi Mkuu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kodi Yako na mali za ccm vinaingilianaje? Ukiacha ujinga huwezi umia.

CCM Ina vyanzo vyake na Mali zake ndio maana imeajiri maelfu ya wafanyakazi wake Kwa Rasilimali zake kuanzia
-Vyombo vya habari
-Majengo makubwa ya vitenge uchumi
-Shule
-Vyuo
-Maduka ya biashara
-Viwanja vya mpira nk
Hakuna kitu kama hicho.Hiyo miradi Yao walijenga Kwa kutumia Kodi zetu.walitumia nafasi ya chama kuwa madarakani kujichotea Kodi za wananchi na kujenga miradi huyo unayoisema.Kiufupi Chanzo chake ni Kodi za wananchi.Tatizo ninyi machawa mkipewa elfumbilimbili mnaona ccm ni mzalendo
 
Maandalizi ya Uchaguzi Mkuu yanazidi kupamba moto huku Vyama vikijipanga Kila kimoja Kwa staili yake.

CCM imeanza Kwa kushusha vyuma "Mabasi ya Youtong Upgrade piruuu tayari kukiwasha.

Swali.
Wale wengine akitoka mwamba ambae Huwa anawakodia helikopta watatumia nini?
Mh Rais ,uchaguzi ukiisha , kwa heshima yako naomba unikabidhi limoja ila bila mashariti yoyote ,
 
Sasa Rasmi tunataka kujua mabasi ya ccm, pikipiki za ccm nini kipo nyuma ya pazia ,ccm jitokeze kwenye mjadala, japo hata muagize meli ,2025 ni ngum kwenu hamtoboi
 
Hizi kama sio hela za DP world, basi tusubiri kusikia kashifa nyingine kama ile ya Escrow.
 
Kwa nini muwachinje?
Mnawapa raslimali zote wachina, hadi biashara za wazalendo kama kamari, halafu nyie mnapewa Yutong!!!!!!! My foot! Nyie CCM mnajitambua? Hata yule aliyedai Uhuru yaani huko aliko atakua anapindua ubavu kwa ubavu halali vizuri. Walitunza nchi sasa imeachiwa kwa mbwa na ukoo wa panya. Really painful
 
🚮🚮
 
Maandalizi ya Uchaguzi Mkuu yanazidi kupamba moto huku Vyama vikijipanga Kila kimoja Kwa staili yake.

CCM imeanza Kwa kushusha vyuma "Mabasi ya Youtong Upgrade piruuu tayari kukiwasha.

Swali.
Wale wengine akitoka mwamba ambae Huwa anawakodia helikopta watatumia nini?
Hela zetu za wizi ndio mnaringia? Mnataka abaki huyo mliyemnunua ili mshinde kiubwete.
 
Hakuna kitu kama hicho.Hiyo miradi Yao walijenga Kwa kutumia Kodi zetu.walitumia nafasi ya chama kuwa madarakani kujichotea Kodi za wananchi na kujenga miradi huyo unayoisema.Kiufupi Chanzo chake ni Kodi za wananchi.Tatizo ninyi machawa mkipewa elfumbilimbili mnaona ccm ni mzalendo
Wala hiyo miradi haitoi hizo pesa, CCM wamenadi nchi kwa Wachina na Waarabu- Full Stop
 
Hapo lazima nikamate Usukani wa Moja.kwa hakika watakao kuwa wanapanda lile ninaloendesha mimi watakuwa muda wote wanabubujikwa na machozi ya furaha kwa raha watakazokuwa wanapata ndani ya gari. Mziki kwa mbali ,mwendo safi.
Kuanzia wewe kama dereva utakuwa unabubujikwa na machozi na abiria watakuwa wanabubujikwa na machozi ya furaha. Kaulimbiu itakuwa machozi yaendelee.
 
Back
Top Bottom