Pre GE2025 CCM yavunja ukimya, yashusha Yutong Bus "Kazi Iendelee" tayari kwa mapambano ya Uchaguzi Mkuu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Maandalizi ya Uchaguzi Mkuu yanazidi kupamba moto huku Vyama vikijipanga Kila kimoja Kwa staili yake.

CCM imeanza Kwa kushusha vyuma "Mabasi ya Youtong Upgrade piruuu tayari kukiwasha.

View: https://www.instagram.com/reel/DEEVNJIIaKq/?igsh=MXZiOHN6MXdpc2tqdQ==
View attachment 3185963

Swali.
Wale wengine akitoka mwamba ambae Huwa anawakodia helikopta watatumia nini?

Ccm wanamikwara sana, sio mda mtashangaa wanashusha meli, alafu uchaguzi ukiisha sijui watayapeleka wapi, yatabadilshwa rangi
 
Maandalizi ya Uchaguzi Mkuu yanazidi kupamba moto huku Vyama vikijipanga Kila kimoja Kwa staili yake.

CCM imeanza Kwa kushusha vyuma "Mabasi ya Youtong Upgrade piruuu tayari kukiwasha.

View: https://www.instagram.com/reel/DEEVNJIIaKq/?igsh=MXZiOHN6MXdpc2tqdQ==
View attachment 3185963

Swali.
Wale wengine akitoka mwamba ambae Huwa anawakodia helikopta watatumia nini?

What’s all the fuss about?

Inahuzunisha. Watu ambao kwao ushindi ni lazima na sio mungu akipenda. Bado wanafuja hazina ya taifa kijinga kijinga tu.
 
Kawaida yenu ni malori yaliyo wazi ili mdhalilishe wasichana kwa kubinua makalio ili mpate nyomi

Sasa hayo mabasi mtakata madirisha?
 
Back
Top Bottom