Pre GE2025 CCM yavunja ukimya, yashusha Yutong Bus "Kazi Iendelee" tayari kwa mapambano ya Uchaguzi Mkuu

Pre GE2025 CCM yavunja ukimya, yashusha Yutong Bus "Kazi Iendelee" tayari kwa mapambano ya Uchaguzi Mkuu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Maandalizi ya Uchaguzi Mkuu yanazidi kupamba moto huku Vyama vikijipanga Kila kimoja Kwa staili yake.

CCM imeanza Kwa kushusha vyuma "Mabasi ya Youtong Upgrade piruuu tayari kukiwasha.

View: https://www.instagram.com/reel/DEEVNJIIaKq/?igsh=MXZiOHN6MXdpc2tqdQ==
View attachment 3185963

Swali.
Wale wengine akitoka mwamba ambae Huwa anawakodia helikopta watatumia nini?

Muda wa kusafirisha wapiga kura kutoka jimbo A kwenda B kuongeza mafuriko wakati barabara zenyewe kizungumkuti...mashimo yanaua watu kila kukicha
 
Attachments

  • VID-20241227-WA0004.mp4
    8.9 MB
Hapo lazima nikamate Usukani wa Moja.kwa hakika watakao kuwa wanapanda lile ninaloendesha mimi watakuwa muda wote wanabubujikwa na machozi ya furaha kwa raha watakazokuwa wanapata ndani ya gari. Mziki kwa mbali ,mwendo safi.
Kwa kweli Daktari Samia anabubujisha watanzania machozi ya furaha.
 
Kipindi cha mavuno kwa sisi malofa kishafika - meliiii hiyooo - usipomalizia nyumba safari hii bac we si kichaa bali una tatizo la afya ya akili.
 
Hapo lazima nikamate Usukani wa Moja.kwa hakika watakao kuwa wanapanda lile ninaloendesha mimi watakuwa muda wote wanabubujikwa na machozi ya furaha kwa raha watakazokuwa wanapata ndani ya gari. Mziki kwa mbali ,mwendo safi.
Muziki wenyewe sasa, " haram eeee, harambee mama harambeee, wapinzaniii tuwaleteee tuwachaneee chaneeee tuwatupeeee na CCM tuwaleteee tuwakumbatieeee tuwabusuuu....". Hakika safari yako itabamba sana Cadre Lucas Mwashambwa .
 
Zimelipiwa Kodi?
Zimenunuliwa na mapato ya Chama, au Tajiri mmoja tu kazinunua kwa maslahi binafsi?

Bado Kuna shule wanafunzi wanakaa chini, mvua ikinyesha hakuna shule.
Jiji la Dar es salaam hakuna mabus ya wanafunzi hasa public schools.
Watoto shuleni hawapati chakula na wengi wanatoka kaya masikini.
Barabara nyingi vijijini huko hazipitiki.

Bado tuna shida kuliko haya matumizi ya hovyo ya chama dola.
 
Back
Top Bottom