Pre GE2025 CCM yavunja ukimya, yashusha Yutong Bus "Kazi Iendelee" tayari kwa mapambano ya Uchaguzi Mkuu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Inaniuma kuona Kodi ninazokamuliwa Hadi damu kutoka zinanunua ma yutong Kwa manufaa ya ccm ambayo haiheshimu maoni ya wananchi Kwa kuiba kura ili iendelee kutukamua Kodi.
 
Inaniuma kuona Kodi ninazokamuliwa Hadi damu kutoka zinanunua ma yutong Kwa manufaa ya ccm ambayo haiheshimu maoni ya wananchi Kwa kuiba kura ili iendelee kutukamua Kodi.
Kodi Yako na mali za ccm vinaingilianaje? Ukiacha ujinga huwezi umia.

CCM Ina vyanzo vyake na Mali zake ndio maana imeajiri maelfu ya wafanyakazi wake Kwa Rasilimali zake kuanzia
-Vyombo vya habari
-Majengo makubwa ya vitenge uchumi
-Shule
-Vyuo
-Maduka ya biashara
-Viwanja vya mpira nk
 
Ndiyo maana mnang'ang'ania madarakani kwa msaada wa mapolisi mapuuzi yasiyojitambua, maana mnajua kabisa akija Rais wa chama kingine hivyo vitega uchumi mlivyotudhulumu lazima mviteme!
 
Ndiyo maana mnang'ang'ania madarakani kwa msaada wa mapolisi mapuuzi yasiyojitambua, maana mnajua kabisa akija Rais wa chama kingine hivyo vitega uchumi mlivyotudhulumu lazima mviteme!
Na nyie huko Kwa lichana la Amsterdam na Mabeberu wengine Kwa nini mnataka kutiana roho kama hakuna hela?
 
Ila kiukweli tukikomboa hii nchi itabidi tuchinje wengi sana
 
Afadhali watabeba wanainchi na chawa kupeleka kwnye mikutano yao kwa utu sio walivokua wanabeba kwa mafuso kama magunia ya bangi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…