OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Hakika hali ni tete huku CCM
Baada ya kubaini tetesi za uwepo wa vijana wanaojiandaa kujitokeza kumlaki na kumpokea Bernard Membe akitokea nje ya nchi,CCM imeingia kiwewe
Kuna tetesi kuwa Katibu Mwenezi ameingilia kati na kuwaonya vijana au kikundi chochote kitakachomlaki Membe kwa mlengo wa kisiasa.
Membe anahusishwa na mapinduzi ya kumng'oa Magufuli na kuonekana kuungwa mkono ndani na nje ya chama
Membe anatarajiwa kurejea nchini akitokea nchi kikazi
Waache chadrama mcharuko tumesha wazoea mizee yenye njaa kali sana walahiAcheni kumfitinisha Membe na JPM....
Nawashangaa sana naona leo wameamua kuja na nyuzi za Membe kumhujumu JPM, badala yake wangetumia muda huu kujadili ni wapi wao binafsi wameteleza hadi kukimbiwa na wabunge wao wanabaki kuwafitini wana CCM nawapa pole maana 2020 CCM itaendelea kushika dola na kwa kura nyingi zaidi...Waache chadrama mcharuko tumesha wazoea mizee yenye njaa kali sana walahi
Naunga mkonoChochea moto hadi hicho kibanda cha Lumumba kibakie majivu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23]Nawashangaa sana naona leo wameamua kuja na nyuzi za Membe kumhujumu JPM, badala yake wangetumia muda huu kujadili ni wapi wao binafsi wameteleza hadi kukimbiwa na wabunge wao wanabaki kuwafitini wana CCM nawapa pole maana 2020 CCM itaendelea kushika dola na kwa kura nyingi zaidi...
Kwa hiyo unataka kusema wabunge wote wa chadema waliohamia ccm walivutiwa na ndoano...[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23]
Wabunge kukimbia???
Ubunge haukimbiwi, adimu sana Ile..!!
KWANINI JIWE ANAMHOFIA MEMBE KIASI HICHO WAKATI KAZI ANAZOFANYA ZINAWAVUTIA HADI WAPINZANI WANAUNGA MKONO JUHUDI?Waache chadrama mcharuko tumesha wazoea mizee yenye njaa kali sana walahi
Kwa hiyo unataka kusema wabunge wote wa chadema waliohamia ccm walivutiwa na ndoano...
Mkuu kuwa na utu ...Leo ni siku ya jumapili tunaweza kuwatembelea watu waliopo mahabusu segerea ni muhimu kuliko hata huyu wa airport!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23]
Wabunge kukimbia???
Ubunge haukimbiwi, adimu sana Ile..!!
Hata mwanzoni mlikuwa mnasema ni uzushi ila juzi Bashiru kathibitisha kuwa huko CCM kuna fukuto la Membe kutaka kugombe uraisi 2020.Waache chadrama mcharuko tumesha wazoea mizee yenye njaa kali sana walahi