Tetesi: CCM yawaonya watakaomlaki B. Membe uwanja wa ndege akitokea ughaibuni

Tetesi: CCM yawaonya watakaomlaki B. Membe uwanja wa ndege akitokea ughaibuni

Nawashangaa sana naona leo wameamua kuja na nyuzi za Membe kumhujumu JPM, badala yake wangetumia muda huu kujadili ni wapi wao binafsi wameteleza hadi kukimbiwa na wabunge wao wanabaki kuwafitini wana CCM nawapa pole maana 2020 CCM itaendelea kushika dola na kwa kura nyingi zaidi...
Wabunge 8 kati ya 46 tofauti ipi
 
Only if hii vita ingekuwa ni ya upinzani. Lakin sasa ni ya ndani ya ccm wenyewe. Chandama wanahusikaje namatatizo yenu?
Waache chadrama mcharuko tumesha wazoea mizee yenye njaa kali sana walahi
 
Huu Ni Upumbavu... Unatulete Tetesi Hapa?
Hakika hali ni tete huku CCM
Baada ya kubaini tetesi za uwepo wa vijana wanaojiandaa kujitokeza kumlaki na kumpokea Bernard Membe akitokea nje ya nchi,CCM imeingia kiwewe

Kuna tetesi kuwa Katibu Mwenezi ameingilia kati na kuwaonya vijana au kikundi chochote kitakachomlaki Membe kwa mlengo wa kisiasa.

Membe anahusishwa na mapinduzi ya kumng'oa Magufuli na kuonekana kuungwa mkono ndani na nje ya chama

Membe anatarajiwa kurejea nchini akitokea nje ya nchi kikazi

My Take
Mwenye kifungu cha katiba ya CCM inayozuia kikundi cha watu kumpokea mwanachama airport,atuwekee hapa.
 
Upumbavu unakusumbua

Sawq
Sawa, lakin rais ni kachero membe, kwan we unaumia sana?
Atapenyea wapi,kiongozi wa kiafrica kushindwa uraisi ni kwa Sababu Mbili uzembe wake au busara yake tu kuachia
 
Back
Top Bottom