Tetesi: CCM yawaonya watakaomlaki B. Membe uwanja wa ndege akitokea ughaibuni

Tetesi: CCM yawaonya watakaomlaki B. Membe uwanja wa ndege akitokea ughaibuni

lakini kama ni kweli membe anamkwamisha mzee wetu kwa nini wasimzibiti kimya kimya humo ndani ya chama hizi kelele zinazopigwa huku nje kiukweli hazitoi picha nzuri
 
Kuna posibbility walikimbia kwa ajili ya maslahi wala sio sera. Why? Simple most of them wanajua kurud 2020 ni ngum, so wakienda ccm wataendelea kutetea chakula chao. And yes.. majority wamerudishwa kwenye nafas zao.. unafikiri wameenda kule bure bure tu.. it is all about plan
Kwa hiyo unataka kusema wabunge wote wa chadema waliohamia ccm walivutiwa na ndoano...
 
Nawashangaa mnaofikiri Rais Magufuli anahitaji nguvu sana kujinadi wakati wakati nyinyi mnashtuka kumeanza kupambazuka mwenzenu alikuwa hajalala anatupigia kazi wananchi biashara ilishakwisha siku nyingi ni vipofu tu wa ubongo ndo watao taka kuzama battle na JPM

MAGUFULI4LIFE
 
Tunawachora na unafiki wenu

Hakika hali ni tete huku CCM
Baada ya kubaini tetesi za uwepo wa vijana wanaojiandaa kujitokeza kumlaki na kumpokea Bernard Membe akitokea nje ya nchi,CCM imeingia kiwewe

Kuna tetesi kuwa Katibu Mwenezi ameingilia kati na kuwaonya vijana au kikundi chochote kitakachomlaki Membe kwa mlengo wa kisiasa.

Membe anahusishwa na mapinduzi ya kumng'oa Magufuli na kuonekana kuungwa mkono ndani na nje ya chama

Membe anatarajiwa kurejea nchini akitokea nje ya nchi kikazi

My Take
Mwenye kifungu cha katiba ya CCM inayozuia kikundi cha watu kumpokea mwanachama airport,atuwekee hapa.
 
Nawashangaa sana naona leo wameamua kuja na nyuzi za Membe kumhujumu JPM, badala yake wangetumia muda huu kujadili ni wapi wao binafsi wameteleza hadi kukimbiwa na wabunge wao wanabaki kuwafitini wana CCM nawapa pole maana 2020 CCM itaendelea kushika dola na kwa kura nyingi zaidi...
Jana kule iringa Msigwa kafanya take iringa
 
appointment ya Membe Lumumba imeshatoka? kwa wenye taarifa mtujuze msafara wa Membe kwenda kwa Bashiru unaanzia wapi na saa ngapi.
 
Kwani kuna ccm nchi nyingine? Hebu tuelekeze nchi ambazo ccm inatawala! Utoto na uelewa duni kama siyo dhaifu! Pathetic wallah!
Huyo huwa hajielewi.Nina uwalakini anapomaliza hizo walahi zake na kijimkojo chembamba hufuata kumtoka.
 
Watu wasioipenda CCM wanaweza wakatumia fursa hiyo kuwavuruga. Yani watavaa jezi za CCM na kujifanya wafuasi wa Membe then wanaenda kumlaki. Baadaye watakaa pembeni kuangalia mtifuano
sidhani. Membe ni CCM na anajua, anaweza kusema hataki kulakiwa! Hivi ni vita vya panzi yya ndani kwa ndani kunguru kwa nini wasifurahi?
 
Lazima tuende kumpokea ni haki yetu kikatiba hamuwezi kutupangia jinsi ya kuishi wakati hatuvunji sheria. Membe 2020
 
Hii hoja naiona kama ni katathimini fulani alikokuja nacho bashiru ili kujua nje ya lumumba yaani uraiani ni jambo gani linaendelea juu ya uongozi mzima wa ccm! Sina uhakika na facts atakazozipata zitamsaidiaje kuirejesha imani na kukubalika tena kwa ccm hasa kwa wapinzani wa ndani!
Asimtafute mchawi kwani aliyeiharibu ccm jumla ni huyo chakubanga wake kwa kosa la kuwanunua wapinzani akidhani anajenga kumbe alibomoa kuta za vyumba na kujenga uzio wa makuti nje! Ikimpendeza amtimue huyo mamluki ambaye hajawahi kuiacha tabia yake ya upinzani na uanaharakati wa katiba mpya! Na huenda lengo lake ni kuivuruga na kuitawanya mafungu ccm asili, kindakindaki na hii ya wakatwa mikia! Ni mtazamo tu wewe ukiona tofauti itapendeza sana. Bomoka ccm tuirejee furaha iliyotutoka!
 
Back
Top Bottom