Tetesi: CCM yawaonya watakaomlaki B. Membe uwanja wa ndege akitokea ughaibuni

Tetesi: CCM yawaonya watakaomlaki B. Membe uwanja wa ndege akitokea ughaibuni

Nawashangaa sana naona leo wameamua kuja na nyuzi za Membe kumhujumu JPM, badala yake wangetumia muda huu kujadili ni wapi wao binafsi wameteleza hadi kukimbiwa na wabunge wao wanabaki kuwafitini wana CCM nawapa pole maana 2020 CCM itaendelea kushika dola na kwa kura nyingi zaidi...
Kila mtu anajua wabunge walinunuliwa na kodi zetu! Ngoja tuone baada ya dirisha kufungwa kama kutakuwa na hama hama! Hamna maana nyie mnapora mpaka mafao ya wastaafu!
 
Watu wasioipenda CCM wanaweza wakatumia fursa hiyo kuwavuruga. Yani watavaa jezi za CCM na kujifanya wafuasi wa Membe then wanaenda kumlaki. Baadaye watakaa pembeni kuangalia mtifuano
Political strategies
 
Leo ni siku ya jumapili tunaweza kuwatembelea watu waliopo mahabusu segerea ni muhimu kuliko hata huyu wa airport!
Kama mahakamani kwa dj walishindwa ndio airport?
Chadrama mcharuko ni njaa tu
 
Nawashangaa mnaofikiri Rais Magufuli anahitaji nguvu sana kujinadi wakati wakati nyinyi mnashtuka kumeanza kupambazuka mwenzenu alikuwa hajalala anatupigia kazi wananchi biashara ilishakwisha siku nyingi ni vipofu tu wa ubongo ndo watao taka kuzama battle na JPM

MAGUFULI4LIFE
Mwambie aache woga sasa!
 
Watu wasioipenda CCM wanaweza wakatumia fursa hiyo kuwavuruga. Yani watavaa jezi za CCM na kujifanya wafuasi wa Membe then wanaenda kumlaki. Baadaye watakaa pembeni kuangalia mtifuano

Siyo rahisi wewe
CCM TUNAJITAMBUA
SIO KAMA NYINYI MNAO NINULIWA KILA SIKU KUNADI CHAMA KINGINE
Crazy psychopaths
 
Hii hama hama ya vyama imesababisha mambo haya, wamo wahamiaji wanavuruga na kukoroga mambo maksudi
 
Wakuu kuna mtu mutasababisha akufe kwa puresha, kausheni tusije tukaua mtu kwa pressure
 
Back
Top Bottom