Tetesi: CCM yawaonya watakaomlaki B. Membe uwanja wa ndege akitokea ughaibuni

KWANINI JIWE ANAMHOFIA MEMBE KIASI HICHO WAKATI KAZI ANAZOFANYA ZINAWAVUTIA HADI WAPINZANI WANAUNGA MKONO JUHUDI?
Swali kama hili ni gumu sana kiasi cha kujibiwa na maignorance wa ccm!
 
Unaposema “wavamizi”, unamaanisha hao mliowanunua kutoka chadema?
 
Hilo karipio lilikua kwa njia ya maandishi au mdomo
 
!
!
Kwenye Vibanda Umiza Tunatoka Nje TuNatoka Nje Tunagonga Pweza Na Kachori Tunarudi Ndani.
 
Aweke kifungu akitoe wapi?alafu cku hz kumpokea mgeni airport ni kosa?
 
Kumbe wana CCM ndo hawatakiwi, je sisi wananchi tusio na vyama tukienda kumpokea kuna tatizo?
 
"Mwenye kifungu cha katiba ya CCM inayozuia kikundi cha watu kumpokea mwanachama airport,atuwekee hapa".

hii imelda vizuri hii.
 
Hivi katiba ya chama cha mapinduzi inaruhusu MTU kuchukua fomu 2020 au watu wameamua kumchachafya RAIA NAMBA 1
 
Wewe ndugu yetu unategemea upate jipya kutoka kwa watu wa aina hii?
 
Leo ni siku ya jumapili tunaweza kuwatembelea watu waliopo mahabusu segerea ni muhimu kuliko hata huyu wa airport!
Nasikia chakubanga kakupa onyo kali kwa uzi wako ulio upost ukimponda mwenyekiti wako
 
Mbona mnamuogopa sana Membe?
 
Mbona mh Bernard Membe hataki kuunga juudi, badala yake anaendesha kampeni underground kumpindua mtukufu mwenyekiti, au yeye haoni juudi za mwenyekiti wenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…