Tetesi: CCM yawaonya watakaomlaki B. Membe uwanja wa ndege akitokea ughaibuni

Tetesi: CCM yawaonya watakaomlaki B. Membe uwanja wa ndege akitokea ughaibuni

Hakika hali ni tete huku CCM
Baada ya kubaini tetesi za uwepo wa vijana wanaojiandaa kujitokeza kumlaki na kumpokea Bernard Membe akitokea nje ya nchi,CCM imeingia kiwewe

Kuna tetesi kuwa Katibu Mwenezi ameingilia kati na kuwaonya vijana au kikundi chochote kitakachomlaki Membe kwa mlengo wa kisiasa.

Membe anahusishwa na mapinduzi ya kumng'oa Magufuli na kuonekana kuungwa mkono ndani na nje ya chama

Membe anatarajiwa kurejea nchini akitokea nje ya nchi kikazi

My Take
Mwenye kifungu cha katiba ya CCM inayozuia kikundi cha watu kumpokea mwanachama airport,atuwekee hapa.
Onesha kwanza kifungu kinachozuia kugombea nafasi ya Mkiti wa CHADEMA
 
Tumeshafunga kurasa ya hao wa mahabusu..tunafungua chapter nyingine braza..hao hata wakikaa mwaka tumeshamaliza ukurasa wao.
Ndio wache wakae mwaka uku sisi tutakula kichwa cha mtoto chupa na kukusomomeza majiti kwenye makalio yako enjoy kwa dakika moja mbili hizi
 
kabisa mkuu!
Hivi mbwa koko kama wewe ambaye kodi zetu zimekupatia mtoto chupa unalo hata lakusema watu wanawastahi kwa uzalendo wa nchi yao wewe mjinga unaleta ngebe wewe kwanza ndio chambo endelea kukenua laana mkubwa wewe
 
Huyu Membe mbona anaweka CCM tumbo joto sana na hali ni mwenzenu?
 
Wanaompinga JPM ni wale wanafiki walioifanya Tz kuwa shamba la bibi . Ni wapiga dili wakubwa , wanataka kufufua madili yao ili uchumi uzidi kudidimia . Mungu ibariki Tz , tuepushe na mafisadi AMEN
 
Lowasa na nguvu zake zote zile alishindwa kupata hiyo chance..labda 2025 ila sio 2020 kama vile baadhi ya watu wanavyojifariji hapa ndani
Lowasa alishinda usijalribu kukumbusha madonda busara zake zilituliza nchi sasa huyo nguchilo kawekwa na kitengo kumbe kichaa tena kichaa kisichotiba
 
Wanaompinga JPM ni wale wanafiki walioifanya Tz kuwa shamba la bibi . Ni wapiga dili wakubwa , wanataka kufufua madili yao ili uchumi uzidi kudidimia . Mungu ibariki Tz , tuepushe na mafisadi AMEN
Mbona JPM mwizi tu kama hao wenzake anatofauti ubaya yeye uwizi wake umekubuhu hadi nchi inafirisika ccm out
 
Nitavaa jezi ya ccm kumlaki Membe hakuna sheria inayonizuia kumlaki nimpedae
 
wakimfurusha inaendelea kula kwao,maana ni kama wamejipanga mstari,akipigwa panga huyu,anatokea mwingine.wamejiapiza:Membe for ptesidency
 
Kama mahakamani kwa dj walishindwa ndio airport?
Chadrama mcharuko ni njaa tu
Kiboko yako sita alikula mpaka utumbo na ubongo vyote vimechanganyika unanuka kinyesi no wonder huna akili
 
Lowasa alishinda usijalribu kukumbusha madonda busara zake zilituliza nchi sasa huyo nguchilo kawekwa na kitengo kumbe kichaa tena kichaa kisichotiba
Umeandika point nzuri...ila njia uliyo wasilisha sio,usipanic mkuu
 
Back
Top Bottom