MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Tuliza hasira MmawiaHata wewe bado ni KUNGUNI tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuliza hasira MmawiaHata wewe bado ni KUNGUNI tu
Ulishaona chawa wanamkimbilia mtu msafi kama una chawa unanyoa nywele na kubadilisha tabia yako ya uchafu hakuna kingineChawa wanamkimbilia kwa kulazimisha tu
Kama kipindi cha wanamtandao.Shida ni kuwa hawa baadae ndio wanaleta makundi yanayowasumbua wenyewe CCM
Aione Suphian JumaTulilaani sana binadamu mwenye akili kujiita chawa kisa njaa.
Ccm huko wamesema chawa hao watafute kazi nyingine ya kufanya badala ya kuendekeza uchawa kwa rais Samia.
Hili liwe ni fundisho kubwa kwa watanzania wanajitoa akili kisa njaa imewapanda kichwani.View attachment 2709730
😁😁😁😁😁Tulilaani sana binadamu mwenye akili kujiita chawa kisa njaa.
Ccm huko wamesema chawa hao watafute kazi nyingine ya kufanya badala ya kuendekeza uchawa kwa rais Samia.
Hili liwe ni fundisho kubwa kwa watanzania wanajitoa akili kisa njaa imewapanda kichwani.View attachment 2709730
Cc: FaizaFoxyCc; Mwashambwa
Kama kipindi cha wanamtandao.
Wanaoitwa CHAWA wako kila eneo....Tulilaani sana binadamu mwenye akili kujiita chawa kisa njaa.