Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
ukweli ndio huoWatu wanaongelea CHAWA WA MAMA wewe unakuja na ngonjera za kibaguzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ukweli ndio huoWatu wanaongelea CHAWA WA MAMA wewe unakuja na ngonjera za kibaguzi
Huna akiliUnajitoa leo?
Kama mama na baba yako wanavyochomolewaDuuuu imefikia huko tena? Yaani umejitahidi kujificha lkn wapi watu wakachomoa nyayaaaa
acha kujipa matumaini, acha kupoteza mudaMama anatupenda mno
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Chawa ndio limekataliwa nawashauri sasa wajiite kunguni wa mama.
Ila kweli mtu unakubali kujiita 'chawa' this is purely stupidity!
Kama hili ni lipumbavu sanaCc; Mwashambwa
Babu mbona hueleweki?Cc: Mwijaku, Zembwela, Gerald Hando, Maulid Kitenge, Stiv Nyerere, Nape, Wasaf, clauz, efm, uhuru fm&gazeti, gazeti jamhuri, jamba leo, habari leo, mzalendo, mfanyakazi, TBCCM, Uvisisiemu, jumuiya ya wazazi, Msoga gang/family, makamba, Lumumba gang, Tulia, nec, bunge et al. Ujumbe: Bandari haziuzwi. Madhabuk!
Huu uzi ni kwa ajili ya MACHAWA tu hakuna kunguni wala bandariCc: Mwijaku, Zembwela, Gerald Hando, Maulid Kitenge, Stiv Nyerere, Nape, Wasaf, clauz, efm, uhuru fm&gazeti, gazeti jamhuri, jamba leo, habari leo, mzalendo, mfanyakazi, TBCCM, Uvisisiemu, jumuiya ya wazazi, Msoga gang/family, makamba, Lumumba gang, Tulia, nec, bunge et al. Ujumbe: Bandari haziuzwi. Madhabuk!
Wivu tu, hao viongozi wanahofu siku moja nafasi zao zitakuja chukuliwa na chawa wa mama. Maana chawa wa mama wanakuwa popular zaidi, so siku uchaguzi ukitokea chawa wakigombea wataibuka washindi kirahisi. Siasa hizi bwana lazima ulinde nafasi yako.
Kwani hao chawa wanatetea nini kama sio bandari kuuzwa kinyemela. Au wewe ni mmoja wapo unatetea mkataba wa kijambazi wa bandari ili upate kujaza ugali kwenye utumbo wako mpana?Huu uzi ni kwa ajili ya MACHAWA tu hakuna kunguni wala bandari
Wewe ndio hueleweki na pengine hujui chanzo cha machawa kuongezeka kwa siku za karibuniBabu mbona hueleweki?