CCM yawapiga marufuku ‘Chawa wa Mama’

CCM yawapiga marufuku ‘Chawa wa Mama’

Tulilaani sana binadamu mwenye akili kujiita chawa kisa njaa.

Ccm huko wamesema chawa hao watafute kazi nyingine ya kufanya badala ya kuendekeza uchawa kwa rais Samia.

Hili liwe ni fundisho kubwa kwa watanzania wanajitoa akili kisa njaa imewapanda kichwani.
Utawasikia kesho wanaandamana kuunga mkono tamko
 
Chawa wametumbuliwa
Wakatafute kazi ya kufanya sasa uchawa umebuma.
 
Chawa ndio limekataliwa nawashauri sasa wajiite kunguni wa mama.
Ila kweli mtu unakubali kujiita 'chawa' this is purely stupidity!
Njaaa mbaya sana mzee yaani mtu anamaliza chuo anakuwa na vyeti mkononi kwa zaidi ya miaka 5 kitaa alafu anapata chance ya kujiita CHAWA na KUNGUNI wa mkubwa anaanzaje kukataa wakati anashiba?
 
Tulilaani sana binadamu mwenye akili kujiita chawa kisa njaa.

Ccm huko wamesema chawa hao watafute kazi nyingine ya kufanya badala ya kuendekeza uchawa kwa rais Samia.

Hili liwe ni fundisho kubwa kwa watanzania wanajitoa akili kisa njaa imewapanda kichwani.View attachment 2709730
Chawa Hakai Kwa watu Safi
 
Tuwatafute viongozi watupe maoni yao:
=
1691315146805.png


=
Pia soma | Hili la Uongozi wa Chawa wa Mama ni la kweli?
 
Back
Top Bottom