Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tutaishije sasa? WatuacheSasa chama hakiwataki mnalazimisha nini?
Dah!... hatari kweli kweliUkiona kitu kijakazi akikifanya ndani ya nyumba kwa ujasiri mkubwa basi tambua tu hiyo ndiyo hisia ya familia anayoishi kwa sasa, na ndilo agizo alilolipokea kutoka kwa mwenye nyumba na mwajiri wake. Yeye binafsi hana uwezo wa kujamulia kumkejeli wala kumdharau jirani yake, mpaka apate ridhaa kwanza kutoka kwa bosi wake. Tazama kwa umakini suala ya Musiba wakati uleee!
Umeonaeeee.....Wivu tu, hao viongozi wanahofu siku moja nafasi zao zitakuja chukuliwa na chawa wa mama. Maana chawa wa mama wanakuwa popular zaidi, so siku uchaguzi ukitokea chawa wakigombea wataibuka washindi kirahisi. Siasa hizi bwana lazima ulinde nafasi yako.
Kuna magroup ya whatsapp mengi balaaaMtu na akili zake anakubali kuitwa chawa kisa tumbo!
ChawaWaMama nilikusahau kula chumaMambo ya ajabu sana
Unaweza simama na Mimi ku argue Kwa kitu kipi hasa? Ukiona maandishi yangu ujue ni facts tupu.We
Wewe chawa mmeambiwa muache uchawa, bado unaendelea.
Machawa wameonekana kutotumia facts katika kuitetea hoja za chama na serikali badala yake wanatumia mihemuko na ushabiki zaidi na wakati mwingine kuharibu mtazamo wa chama ktk mambo ya msingi ya kitaifa.
Je hii sababu unaionaje?
Kuna sehemu umewahi niona najiita chawa au nyie nyumbu msio na hoja ndio Huwa mnaniita?Ungekuwa huna maslahi na huo mpango usingejiita chawa
Mbona mama mwenyewe aliwasifu, anawapenda.Tulilaani sana binadamu mwenye akili kujiita chawa kisa njaa.
Ccm huko wamesema chawa hao watafute kazi nyingine ya kufanya badala ya kuendekeza uchawa kwa rais Samia.
Hili liwe ni fundisho kubwa kwa watanzania wanajitoa akili kisa njaa imewapanda kichwani.View attachment 2709730
Tutaishije sasa? Watuache
CCM ni chawa.Tulilaani sana binadamu mwenye akili kujiita chawa kisa njaa.
Ccm huko wamesema chawa hao watafute kazi nyingine ya kufanya badala ya kuendekeza uchawa kwa rais Samia.
Hili liwe ni fundisho kubwa kwa watanzania wanajitoa akili kisa njaa imewapanda kichwani.View attachment 2709730