CCM yawapiga marufuku ‘Chawa wa Mama’

CCM yawapiga marufuku ‘Chawa wa Mama’

Huyu jamaa nasikia kwao ni kibaigwa sehemu ambayo bado wanaamini kuwa Tanzania bado ipo kwenye mfumo wa chama kimoja yaani ccm.
Yuko Mbeya huko tena swaya,
au uporoto au mbarali,hata Mbeya mjini hapajui.
 
Tulilaani sana binadamu mwenye akili kujiita chawa kisa njaa.

Ccm huko wamesema chawa hao watafute kazi nyingine ya kufanya badala ya kuendekeza uchawa kwa rais Samia.

Hili liwe ni fundisho kubwa kwa watanzania wanajitoa akili kisa njaa imewapanda kichwani.View attachment 2709730

Hata mtoa tamko yawezekana naye ni
1691298583424.png
 
Tulilaani sana binadamu mwenye akili kujiita chawa kisa njaa.

Ccm huko wamesema chawa hao watafute kazi nyingine ya kufanya badala ya kuendekeza uchawa kwa rais Samia.

Hili liwe ni fundisho kubwa kwa watanzania wanajitoa akili kisa njaa imewapanda kichwani.View attachment 2709730
Chama imara ni kile kinatengezeza vijana imara, sio machawa ,leo pita hata vyuoni utashangaa sana , uchawa wakiamini watapata ajira kupitia uchawa

Ccm ni chama ila waliomo humo ndo tatizo, na shida kubwa nikutokana kutokua na viongozi bora waliopikwa , badala yake ni kupata vyeo tokana na uchawa,

Siku nikiwa ccm niite mbwa niko pale
 
Ni aibu sana kama taifa kuwa na vijana wa aina hii
 
Tulilaani sana binadamu mwenye akili kujiita chawa kisa njaa.

Ccm huko wamesema chawa hao watafute kazi nyingine ya kufanya badala ya kuendekeza uchawa kwa rais Samia.

Hili liwe ni fundisho kubwa kwa watanzania wanajitoa akili kisa njaa imewapanda kichwani.View attachment 2709730
Hivi kuwa chawa wa mama inakuaje ni kikundi maslahi? Kwani wanalipwa na mtu?

Nachojua Mimi neno chawa lililetwa na Wapinzani eti kuwatusi wanaomshabikia Rais harafu wanaompinga wanaonekana ni wafalme.

Huo ni ujinga mwingine wa hao Halmashauri kuu kutoelewa hasa wanachokofanya na kutapatapa.

Mfano Mimi humu jukwaani Huwa ni shabiki wa mama na haters wake kutwa kucha wananiita chawa lakini silipwi na mtu Wala nadhani hao hawajielewi wanachokofanya.
 
Ndio mmeshapigwa Marufuku sasa

Bakia kuwa CHAWA wa Masanja Mkandamizaji 🤣🤣
 
Hivi kuwa chawa wa mama inakuaje ni kikundi maslahi? Kwani wanalipwa na mtu?

Nachojua Mimi neno chawa lililetwa na Wapinzani eti kuwatusi wanaomshabikia Rais harafu wanaompinga wanaonekana ni wafalme.

Huo ni ujinga mwingine wa hao Halmashauri kuu kutoelewa hasa wanachokofanya na kutapatapa.

Mfano Mimi humu jukwaani Huwa ni shabiki wa mama na haters wake kutwa kucha wananiita chawa lakini silipwi na mtu Wala nadhani hao hawajielewi wanachokofanya.
Wana ccm kama hawa machawa wanalifedhesha taifa
 
Tulilaani sana binadamu mwenye akili kujiita chawa kisa njaa.

Ccm huko wamesema chawa hao watafute kazi nyingine ya kufanya badala ya kuendekeza uchawa kwa rais Samia.

Hili liwe ni fundisho kubwa kwa watanzania wanajitoa akili kisa njaa imewapanda kichwani.View attachment 2709730
Mwashamba atafanya kazi gani sasa?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chawa wamepigwa stop wanaweza ibuka kunguni wa mama hii nchi haishi vituko vituko vimekua vingi kuliko maendeleo ya nchi.
 
Back
Top Bottom