92 jerrie
JF-Expert Member
- Feb 28, 2022
- 7,273
- 16,705
Sasa na hawa machawa huku jf itakuajeTulilaani sana binadamu mwenye akili kujiita chawa kisa njaa.
Ccm huko wamesema chawa hao watafute kazi nyingine ya kufanya badala ya kuendekeza uchawa kwa rais Samia.
Hili liwe ni fundisho kubwa kwa watanzania wanajitoa akili kisa njaa imewapanda kichwani.View attachment 2709730