CCM yawapiga marufuku ‘Chawa wa Mama’

CCM yawapiga marufuku ‘Chawa wa Mama’

Tulilaani sana binadamu mwenye akili kujiita chawa kisa njaa.

Ccm huko wamesema chawa hao watafute kazi nyingine ya kufanya badala ya kuendekeza uchawa kwa rais Samia.

Hili liwe ni fundisho kubwa kwa watanzania wanajitoa akili kisa njaa imewapanda kichwani.View attachment 2709730
Yeye mwenyewe anapenda hao chawa
 
imebainika kuna mamluki wa chadema wanajingizaingiza kwenye chama na hili alikubaliki ndani ya chama cha mapinduzi
 
imebainika kuna mamluki wa chadema wanajingizaingiza kwenye chama na hili alikubaliki ndani ya chama cha mapinduzi
Watu wanaongelea CHAWA WA MAMA wewe unakuja na ngonjera za kibaguzi
 
Back
Top Bottom