CCM yawapiga marufuku ‘Chawa wa Mama’

CCM yawapiga marufuku ‘Chawa wa Mama’

Cc: Mwijaku, Zembwela, Gerald Hando, Maulid Kitenge, Stiv Nyerere, Nape, Wasaf, clauz, efm, uhuru fm&gazeti, gazeti jamhuri, jamba leo, habari leo, mzalendo, mfanyakazi, TBCCM, Uvisisiemu, jumuiya ya wazazi, Msoga gang/family, makamba, Lumumba gang, Tulia, nec, bunge et al. Ujumbe: Bandari haziuzwi. Madhabuk!
 
Babu mbona hueleweki?
 
Huu uzi ni kwa ajili ya MACHAWA tu hakuna kunguni wala bandari
 
Wivu tu, hao viongozi wanahofu siku moja nafasi zao zitakuja chukuliwa na chawa wa mama. Maana chawa wa mama wanakuwa popular zaidi, so siku uchaguzi ukitokea chawa wakigombea wataibuka washindi kirahisi. Siasa hizi bwana lazima ulinde nafasi yako.

Shida ni kuwa hawa baadae ndio wanaleta makundi yanayowasumbua wenyewe CCM
 
Huu uzi ni kwa ajili ya MACHAWA tu hakuna kunguni wala bandari
Kwani hao chawa wanatetea nini kama sio bandari kuuzwa kinyemela. Au wewe ni mmoja wapo unatetea mkataba wa kijambazi wa bandari ili upate kujaza ugali kwenye utumbo wako mpana?
 
Back
Top Bottom