CCM yawapiga marufuku ‘Chawa wa Mama’

Wewe ndio hueleweki na pengine hujui chanzo cha machawa kuongezeka kwa siku za karibuni
Chanzo cha chawa na kunguni kuongezeka siku hizi ni njaa tu
 
Kwahio huyo mama ni Mchafu ?, Yaani ana Chawa ?!!
 
Kwani hao chawa wanatetea nini kama sio bandari kuuzwa kinyemela. Au wewe ni mmoja wapo unatetea mkataba wa kijambazi wa bandari ili upate kujaza ugali kwenye utumbo wako mpana?
Ndiyo maana nakwambia kuwa tuliza akili kwanza
 
Chawa wanamkimbilia kwa kulazimisha tu
Ulishaona chawa wanamkimbilia mtu msafi kama una chawa unanyoa nywele na kubadilisha tabia yako ya uchafu hakuna kingine
 
Ulishaona chawa wanamkimbilia mtu msafi kama una chawa unanyoa nywele na kubadilisha tabia yako ya uchafu hakuna kingine
Ndiyo maana chama chake kimeamua sasa hakitaki masihara
 
😁😁😁😁😁
 
Wanaoitwa CHAWA wako kila eneo....

Kwenye michezo WAPO...

Kwenye vilabu vya mpira WAPO....

Wanasiasa wa zama zote WANAO....

Wafanyabiashara WANAO....

Kwanini hawa "chawa" wa Rais SSH ndio waonekane ni wa ajabu ?!!! [emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]

Wanaoitwa "machawa" ndio walinzi wakuu wa IMANI ya mwenyekiti wetu wa CCM....

Hao machawa ndio wanaokesha mitandaoni kuelezea MAZURI ya chama na serikali yake.....

Wanataka hao "machawa" wasielezee mazuri ya mwenyekiti wao ?!!! [emoji15][emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]

Siasa ni watu...
Siasa ni maneno...majadiliano....matukio na HOJA.....

NDIMI CHAWA WA MAZURI YA JMT[emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…