CCM yazindua CCM Digital cards-CDC

CCM yazindua CCM Digital cards-CDC


===
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Ndg Samia Suluhu Hassan leo tarehe 05|02|2022 amezindua mfumo mpya wa kadi za kielektroniki,

Baada ya " CHADEMA Digital " kukwama hasa kwa kukosa wanachama huenda Watanzania wengi waliisubiri hii " CCM Digital Cards " yaani " CDC ".

HONGERA SANA CCM-TANZANIA
HONGERA RAIS SAMIA SULUHU
Huyo alietengeneza hiyo kadi keenye picha angeondoa hiyo white background ingependeza zaidi
 
Unataka ibaki kijani tupu?
Yes, mfano kama hii si unaona picha haina background.
images (8).jpeg
 
Pia waweke kulipia ada za uanachama kidigitali, yaan tulipie kwa M-pesa, Tigopesa, Airtelmoney etc

Watakusanya hela nzuri na control itakuwa kubwa + Database ya wanachama wote
 

===
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Ndg Samia Suluhu Hassan leo tarehe 05|02|2022 amezindua rasmi mfumo mpya wa kadi za kielekitroniki,

Baada ya " CHADEMA Digital " kukwama hasa kwa kukosa wanachama huenda Watanzania wengi waliisubiri hii " CCM Digital Cards " yaani " CDC "

Mtakumbuka hata kabla Chama Cha Mapinduzi ( CCM ) kimekuwa kikiendelea na usajili wa wanachama wake kwa njia hii ya kielekitroniki wakati kikisubiri Uzinduzi huu rasmi,

||HONGERA SANA KWA CCM-TANZANIA
HONGERA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ||
Asante CCM ya Mama,

Tanzania chama ni kimoja tu nacho ni CCM,
 
Wale wengine wameishia lock up na kwenda kuripoti kwa kituo kila ijumaa.
 
Iyo kadi ya akina dabaya, makonda na JPM imejaa damu za watu akina azory gwanda, kangoye, saa8 waliouwawa chini ya baraka ya jambazi JPM mliofuraia walipochinjwa na miili yao kutoswa baharini na kisha kuokotwa koko beach.
Khaaa, Full Uchochezi
 
Kweli CCM ni chama cha wazee, sasa hivi ndio mmejua mambo ya digital cards!? Mkiambiwa mko madarakani kwa mabavu inabidi muelewe maana hamna ubunifu kabisa.

Kagaweni hizo cards kwenye kambi za jeshi na makazi mengine ya vyombo vya dola, maana CCM sio chama cha siasa, bali kikundi cha dola kilichojivika koti la chama cha siasa.
Maafisa Elimu watazigawa kwa Walimu tena kwa kuwalazimisha.
 
Back
Top Bottom