peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Mimi mkulima mkuu nakula jembe na mkono wanguKama ilivyo kwako kwa hicho chako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi mkulima mkuu nakula jembe na mkono wanguKama ilivyo kwako kwa hicho chako
Ukitumbuliwa najua huna pa kukimbilia .Kama ilivyo kwako kwa hicho chako
Chama cha kidijitaki CCM, hongera sana
===
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Ndg Samia Suluhu Hassan leo tarehe 05|02|2022 amezindua rasmi mfumo mpya wa kadi za kielekitroniki,
Baada ya " CHADEMA Digital " kukwama hasa kwa kukosa wanachama huenda Watanzania wengi waliisubiri hii " CCM Digital Cards " yaani " CDC "
Mtakumbuka hata kabla Chama Cha Mapinduzi ( CCM ) kimekuwa kikiendelea na usajili wa wanachama wake kwa njia hii ya kielekitroniki wakati kikisubiri Uzinduzi huu rasmi,
||HONGERA SANA KWA CCM-TANZANIA
HONGERA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ||
TenaIyo kadi ya akina dabaya, makonda na JPM imejaa damu za watu akina azory gwanda, kangoye, saa8 waliouwawa chini ya baraka ya jambazi JPM mliofuraia walipochinjwa na miili yao kutoswa baharini na kisha kuokotwa koko beach.
CCM juuuuuuu
===
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Ndg Samia Suluhu Hassan leo tarehe 05|02|2022 amezindua rasmi mfumo mpya wa kadi za kielekitroniki,
Baada ya " CHADEMA Digital " kukwama hasa kwa kukosa wanachama huenda Watanzania wengi waliisubiri hii " CCM Digital Cards " yaani " CDC "
Mtakumbuka hata kabla Chama Cha Mapinduzi ( CCM ) kimekuwa kikiendelea na usajili wa wanachama wake kwa njia hii ya kielekitroniki wakati kikisubiri Uzinduzi huu rasmi,
||HONGERA SANA KWA CCM-TANZANIA
HONGERA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ||
CHADOMO?wana maagano na "yule mwovu" mkuu.
Juuuu zaidi,CCM juuuuuuu
😍😍Hakika Rais Samia ameletwa Tanzania kuliponya Taifa,
Kitendo cha kukutana na Tundu Lissu Brussels Ubelgiji ni kiwango cha juu kabisa cha Uzalendo kwa Taifa,
Tumuunge mkono Rais wetu kwa haya kwani anastahili sana,
Wonderful CCM
===
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Ndg Samia Suluhu Hassan leo tarehe 05|02|2022 amezindua rasmi mfumo mpya wa kadi za kielekitroniki,
Baada ya " CHADEMA Digital " kukwama hasa kwa kukosa wanachama huenda Watanzania wengi waliisubiri hii " CCM Digital Cards " yaani " CDC "
Mtakumbuka hata kabla Chama Cha Mapinduzi ( CCM ) kimekuwa kikiendelea na usajili wa wanachama wake kwa njia hii ya kielekitroniki wakati kikisubiri Uzinduzi huu rasmi,
||HONGERA SANA KWA CCM-TANZANIA
HONGERA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ||
chadema will always be a threat....baada ya chadema kuanzisha digital system, threat ikawajia act wazalendo na ccm. and now you are following chadema's strategy. Mkiambiwa ccm hakuna thinkers mnaaanza kumwaga matusi.Wonderful CCM