CCM yeteka kwa mabavu ofisi za CHADEMA Rombo

CCM yeteka kwa mabavu ofisi za CHADEMA Rombo

Waasisi wa CHADEMA walikuwa na maono ya kuwa chama mbadala kwa sera. Baadaye kikavamiwa na magenge ya wapiga deals na watetezi wa mabeberu! Ona sasa ni aibu! Lowassa kawakimbia na hajulikani alipo! Madiwani, wabunge woote nduki. Wamebaki masalia choka mbaya!
 
Hata kama ni moja ni aibu kwa chama, maana hiyo moja inaweza kusababisha zingine nazo zifungwe. Kumbuka, alianza kutoka diwani mmoja sasa wamefika 201. Alianza kutoka mbunge mmoja sasa wamefika 20!

Njia pekee ya kuitoa chadema kwenye Reli ni kuruhusu mikutano ya vyama, tuache waseme, tujue wanasema nn, tuwaprove wrong kwenye kitu ambacho wanakisema, huu uchaguzi wa serikali za mitaa ndio ilikuwa good way kuwadelete
 
..... mnawanyima ruzuku ya kuendeshea shughuli za chama chao, halafu unakuja hapa na viswali vyako vya kitoto!
 
Waasisi wa CHADEMA walikuwa na maono ya kuwa chama mbadala kwa sera. Baadaye kikavamiwa na magenge ya wapiga deals na watetezi was mabeberu! Ona sasa ni aibu! Lowassa kawakimbia na hajulikani alipo! Madiwani, wabunge woote nduki. Wamebaki masalia chola mbaya!
Kifo Cha chadema kilianza rasmi Lowasa alipoingia tu chadema na kupokelewa
 
Nimeshangaa kuona baadhi ya Watanzania/wanaCHADEMA wakizifunga ofisi za CHADEMA na kufuta nembo ya maandishi yanayokitambulisha CHADEMA kwenye kuta za nyumba.

Kinaendelea kitu gani nchini mpaka ofisi za CHADEMA zinafungwa na kufutwa maandishi yanayokitambulisha ukutani?

Kilichonishangaza zaidi haya yanatokea katika jimbo la Rombo mkoani Kilimanjaro kama ambavyo wahusika wanajitambulisha.

Video ya tukio
View attachment 1267947
Chadema inajikaanga kwa mafuta yake yenyewe
 
Chadema inajikaanga kwa mafuta yake yenyewe

Tokea uchaguzi mkuu umalizike ofisi yetu ya kata hapa njombe imefungwa haijafunguliwa wanachama tumeshindwa kupata huduma.

1574319171628.png

SOURCE:Mbowe tusaidie ukarabati wa ofisi
 
Nimeshangaa kuona baadhi ya Watanzania/wanaCHADEMA wakizifunga ofisi za CHADEMA na kufuta nembo ya maandishi yanayokitambulisha CHADEMA kwenye kuta za nyumba.

Kinaendelea kitu gani nchini mpaka ofisi za CHADEMA zinafungwa na kufutwa maandishi yanayokitambulisha ukutani?

Kilichonishangaza zaidi haya yanatokea katika jimbo la Rombo mkoani Kilimanjaro kama ambavyo wahusika wanajitambulisha.

Video ya tukio
View attachment 1267947
Kwani hujui, Wagombea wao hawakutaka wasuse uchaguzi wa serikali za mitaa lakini viongozi wao wa juu wamefanya maamuzi yao binafsi na wao wameamua kufuta jina la chama ili wao wabakie na makao makuu yao.
 
Njia pekee ya kuitoa chadema kwenye Reli ni kuruhusu mikutano ya vyama, tuache waseme, tujue wanasema nn, tuwaprove wrong kwenye kitu ambacho wanakisema, huu uchaguzi wa serikali za mitaa ndio ilikuwa good way kuwadelete
Anacho kitamka mwanachadema yoyote ndivyo anavyo fikiri/ona kimtazamo, kama Rais wa nchi anatekeleza Ilani ya chamachake kwa kujenga Barabara, Reli, Vituovya Afya, Madarasa, Vituo vya nguvu za umeme, mwendokasi, Maktaba,Elimu ya bure, kupambana na mfumuko wa bei, kusimamia bei za pembejeo za kilimo na kuondoa pembejeo feki, miradi ya meme na maji vijijini na mijini n.k
bado wanakwambia ayo ni maendeleo ya vitu na si watu sasa unatarajia kwenye mikutano yao ya kisiasa kutakua na lipi jipya?
 
Si mnasemaga Chadema hajajenha ofisi sasa ni vipi kama hizo ofisi walipanga?
 
320 million kila mwezi. Sema ukweli tu hizo anakula Mbowe na familia yake nyinyi wengine mnatoka kapa.
Mkuu huku za CCM mbona ata kwenye shina na tawi tunatoka kapa kila mwaka
 
Nimeshangaa kuona baadhi ya Watanzania/wanaCHADEMA wakizifunga ofisi za CHADEMA na kufuta nembo ya maandishi yanayokitambulisha CHADEMA kwenye kuta za nyumba.

Kinaendelea kitu gani nchini mpaka ofisi za CHADEMA zinafungwa na kufutwa maandishi yanayokitambulisha ukutani?

Kilichonishangaza zaidi haya yanatokea katika jimbo la Rombo mkoani Kilimanjaro kama ambavyo wahusika wanajitambulisha.

Video ya tukio
View attachment 1267947

Sio kufuta tu hizo nembo za cdm waweke na nembo ya ccm juu kabisa. Wananchi wengi wanajitambua na hawana muda wa kushiriki siasa za kishenzi. Hata ccm itumie nguvu kiasi gani na uhayawani wa kiwango gani, bado hawataweza kuwalazimisha wananchi kuwakubali. Iko hivi watu wakishajitambua na kubadilika hata ufanye vipi bado huwezi kuwabadilisha. Hata mkiona hamuelewiki pigeni risasi viongozi wote wa cdm wenye ushawishi kama ilivyo ada.

Nje ya mada, sasa ni muda muafaka wa Tiss kuanzisha kile chama ulichosema kitakuja baada ya cdm kufa, kisha uone kama kitapata uungwaji mkono na wananchi kama ilivyo cdm. Na sio hicho chama tu, bali wao pamoja na ccm tuone kama vitapata support ya wananchi zaidi ya mabavu kuzidi kutumika, ambayo yatatufikisha pazuri kwenye mabadiliko tunayohitaji. Ukitaka kujua pamoja na kuwahujumu wapinzani wananchi wameshaamka, pitia hizi kampeni za uchaguzi uone watu walivyo wachache, huku kampeni zikiwa kama uji wa baridi usio na sukari.
 
Hata kama ni moja ni aibu kwa chama, maana hiyo moja inaweza kusababisha zingine nazo zifungwe. Kumbuka, alianza kutoka diwani mmoja sasa wamefika 201. Alianza kutoka mbunge mmoja sasa wamefika 20!

Madiwani 201 na wabunge 20 mbona wachache sana, tulianza kuikubali cdm ikiwa na wabunge watano. Hiyo cdm hata akiondoka Mbowe au yoyote yule na cdm ikafutwa juu, bado hakuna uwezekano tuikubali ccm. Tumeshaamka siku nyingi sana. Ccm kilikwisha kupoteza mvuto, saa hii inabidi kitumie mabavu tu kufanya siasa. Hiyo ccm sasa hivi ni kama mziki wa hizi nazo, wengi wanaosikiliza ni wazee, lakini cdm ni kama mziki wa kizazi kipya ndio chenye mvuto.
 
Back
Top Bottom