Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,042
- 17,320
Hata kama ni moja ni aibu kwa chama, maana hiyo moja inaweza kusababisha zingine nazo zifungwe. Kumbuka, alianza kutoka diwani mmoja sasa wamefika 201. Alianza kutoka mbunge mmoja sasa wamefika 20!
Kifo Cha chadema kilianza rasmi Lowasa alipoingia tu chadema na kupokelewaWaasisi wa CHADEMA walikuwa na maono ya kuwa chama mbadala kwa sera. Baadaye kikavamiwa na magenge ya wapiga deals na watetezi was mabeberu! Ona sasa ni aibu! Lowassa kawakimbia na hajulikani alipo! Madiwani, wabunge woote nduki. Wamebaki masalia chola mbaya!
Luzuku zoote zinagongwa na Mbowe na haijulikani hela yoote anaipeleka wapi? Ndo naana hataki kuachia uenyekiti..... mnawanyima ruzuku ya kuendeshea shughuli za chama chao, halafu unakuja hapa na viswali vyako vya kitoto!
Chadema inajikaanga kwa mafuta yake yenyeweNimeshangaa kuona baadhi ya Watanzania/wanaCHADEMA wakizifunga ofisi za CHADEMA na kufuta nembo ya maandishi yanayokitambulisha CHADEMA kwenye kuta za nyumba.
Kinaendelea kitu gani nchini mpaka ofisi za CHADEMA zinafungwa na kufutwa maandishi yanayokitambulisha ukutani?
Kilichonishangaza zaidi haya yanatokea katika jimbo la Rombo mkoani Kilimanjaro kama ambavyo wahusika wanajitambulisha.
Chadema inajikaanga kwa mafuta yake yenyewe
Wewe kesho unadhani utakuwa waziri tena? Kesho yako huijui. Labda ujitoe utu wakoChadema inajikaanga kwa mafuta yake yenyewe
..... mnawanyima ruzuku ya kuendeshea shughuli za chama chao, halafu unakuja hapa na viswali vyako vya kitoto!
Kwani hujui, Wagombea wao hawakutaka wasuse uchaguzi wa serikali za mitaa lakini viongozi wao wa juu wamefanya maamuzi yao binafsi na wao wameamua kufuta jina la chama ili wao wabakie na makao makuu yao.Nimeshangaa kuona baadhi ya Watanzania/wanaCHADEMA wakizifunga ofisi za CHADEMA na kufuta nembo ya maandishi yanayokitambulisha CHADEMA kwenye kuta za nyumba.
Kinaendelea kitu gani nchini mpaka ofisi za CHADEMA zinafungwa na kufutwa maandishi yanayokitambulisha ukutani?
Kilichonishangaza zaidi haya yanatokea katika jimbo la Rombo mkoani Kilimanjaro kama ambavyo wahusika wanajitambulisha.
Unaweza kuprove kwamba Chadema wananyimwa ruzuku?..... mnawanyima ruzuku ya kuendeshea shughuli za chama chao, halafu unakuja hapa na viswali vyako vya kitoto!
Anacho kitamka mwanachadema yoyote ndivyo anavyo fikiri/ona kimtazamo, kama Rais wa nchi anatekeleza Ilani ya chamachake kwa kujenga Barabara, Reli, Vituovya Afya, Madarasa, Vituo vya nguvu za umeme, mwendokasi, Maktaba,Elimu ya bure, kupambana na mfumuko wa bei, kusimamia bei za pembejeo za kilimo na kuondoa pembejeo feki, miradi ya meme na maji vijijini na mijini n.kNjia pekee ya kuitoa chadema kwenye Reli ni kuruhusu mikutano ya vyama, tuache waseme, tujue wanasema nn, tuwaprove wrong kwenye kitu ambacho wanakisema, huu uchaguzi wa serikali za mitaa ndio ilikuwa good way kuwadelete
Kabisa...maana wametawala miaka mingi lakini nchi bado omba omba aiseeWatu wamechoka
Mkuu huku za CCM mbona ata kwenye shina na tawi tunatoka kapa kila mwaka320 million kila mwezi. Sema ukweli tu hizo anakula Mbowe na familia yake nyinyi wengine mnatoka kapa.
Nimeshangaa kuona baadhi ya Watanzania/wanaCHADEMA wakizifunga ofisi za CHADEMA na kufuta nembo ya maandishi yanayokitambulisha CHADEMA kwenye kuta za nyumba.