Kwan Dkt Mwinyi ukimfuatilia kiundani kabisa ni Mkazi wa ZanzibarKwani pia Maalim Seif Sharrif ukimfuatilia Kiundani kabisa Ndugu hasa Chimbuko lake unadhani ni Mtanzania halisi kama tulivyo Mimi na Wewe?
Kwa pointi hii nakuunga mkono. LAKINI CCM MWAKA HUU KURUDI MADARAKANI HAPA VISIWANI ZANZIBAR NI NDOTO.Najua na nilishasema hapa mapema tu kuwa Profesa Makame Mbarawa atakuwa Mrithi wa Rais anayemaliza muda wake huko Kisiwani Zanzibar Dkt. Shein na ninamkubali na nitawasifu mno CCM wakimpitisha kwa Nguvu moja. Ila sitaki na wala sipendelei Mtoto yoyote wa waliowahi kuwa Viongozi wa Zanzibar kuanzia Karume, Jumbe na Mwinyi wawe sehemu ya Uongozi wa Juu huko. Kama Mimi ningekuwa Profesa Mbarawa nikiapishwa tu kuwa Rais basi Makamu wangu wa Pili wa Rais ningemteua Masauni. Zanzibar ya sasa inahitaji Sura mpya kabisa na zisizo na Mizizi wala Makundi ya Kifamilia.
Mbarawa hawezi kupata kura za urais kumzidi Maalum Seif.Ndiyo Mchujo ni tayari na Wote wawili hawa wapo katika Kikosi cha Top Five lakini kama kuna Kosa ambalo CCM watafanya ni Kumwomba Rais Mtarajiwa wa Zanzibar Profesa Makame Mbarawa amteue Dkt. Hussein Mwinyi kuwa Makamu wa Pili wa Rais huko ili tu Kumpoza Baba yake ambaye amekuwa ni Mpiga Debe mkubwa kwa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli.
Kwani pia Maalim Seif Sharrif ukimfuatilia Kiundani kabisa Ndugu hasa Chimbuko lake unadhani ni Mtanzania halisi kama tulivyo Mimi na Wewe?
Bila shaka atashinda Maalim, swali langu: asipotangazwa atafanya nini? Napata mashaka makubwa.. ya Jecha kujirudiaSasa safari hii ACT ya Maalim Seif sio ya kukubali yaishe!
Hakuna mpemba anaeitwa makame mbarawa mnyaaaAcha ramli chonganishi!
Unazijua vizuri siasa za Zanzibar wewe!? Siasa za Upemba na Uunguja?
Atoke Mpemba aje Mpemba? Hili halitoweza tokea asilani abadani.
Prof Mbarawa ni kiongozi mzuri sana kiutendaji ila CCM itampitishaje mtu ambaye hajawahi chaguliwa na watu hata kwa nafasi ya ubalozi wa Nyumba kumi ama usheha??
Mbona humsemi Jiwe?Watanzania wana Roho ya Kiajabu Ajabu kama Yake Ndugu?
.Najua na nilishasema hapa mapema tu kuwa Profesa Makame Mbarawa atakuwa Mrithi wa Rais anayemaliza muda wake huko Kisiwani Zanzibar Dkt. Shein na ninamkubali na nitawasifu mno CCM wakimpitisha kwa Nguvu moja. Ila sitaki na wala sipendelei Mtoto yoyote wa waliowahi kuwa Viongozi wa Zanzibar kuanzia Karume, Jumbe na Mwinyi wawe sehemu ya Uongozi wa Juu huko. Kama Mimi ningekuwa Profesa Mbarawa nikiapishwa tu kuwa Rais basi Makamu wangu wa Pili wa Rais ningemteua Masauni. Zanzibar ya sasa inahitaji Sura mpya kabisa na zisizo na Mizizi wala Makundi ya Kifamilia.
Awamu hii hata bara ni Kama huku Zanzibar tuZanzibar haina mzawa halisi, wengi Pale ni wakongo wanaojiita wakati wanayamwezi. Kile ni Kisiwa hakuna Mfugaji angeweza kukimbilia Kwenye Kisiwa badala ya kuishi bara.
Maalim Seif akiwa Rais tutakua tumepiga hatua kubwa sana na kujenga utu.
Ni kweli kabisa CCM ya Zanzibar na bara pia imejenga mfumo wa watu wenye Roho mbaya sana sana na ukatili wa kupindukia . Hali inayopelekea watu kuishi kwa kuwaziana visasi na kuombeana dua mbaya.
Waislama wa Kweli wafikirie pia kuhusu Kesho ahera kuliko kuwaza Urais tuu na kupata madaraka utafikiri wataishi milele.
Kwa nini nchi yenye watu wa imani moja kama Zanzibar wanaishi kwa dhulma kiasi hicho?
Mnasababisha watu washindwe kuupenda uislama ,dini inayesemwa kuwa ni dini ya Mwenyezi Mungu.
Kweli kabisa ni aibu kubwa wanasiasa kuwajengea watu Roho za dhulma kwa sababu ya vyama vya siasa na waumini wa dini moja wanakubali kuishi hivyo kwa sababu tu ya madaraka na kupata fedha.
Mnaabisha sana kwa kweli. Tumeona Muislama kabisa anaswali swala tano lakini anakubali kupindua matokeo ya kura na ijumaa anaswali na anajiona ni muumini wa dini inayojiita ya haki.
Shame on you!!
Simamisheni haki duniani kama mlivyosoma kwenye dini vinginevyo mjiite wamataifa tu wasiomjua Mwenyezi Mungu na dini ya haki.
Kadhalika Wakristo viongozi Wote na wasimamizi wa uchaguzi ujao wamuige Mh. Magufuli amabaye amejinyenyekeza kwa Mungu na kujua kuwa Taifa linahitaji Rehema na kumtii Mungu hasa kipindi cha Korona. Tuendelee kumtii Mungu wakati wote na kutenda haki.
CCM wamsimamishe yeyote lakini haki itendeke na Zanzibar iwe Mbele ya maslahi ya watu na vyama.
Watu wachache waliopewa jukumu la kusimamia uchaguzi wasijione kuwa wao ndio kila kitu na hakuna aliye juu yao duniani na hata mbinguni.
Hata Shetani ni mbaya lakini anamuogopa Mwenyezi Mungu. Awamu hii Tume ya uchaguzi Zanzibar isilipake Matope taifa letu. Watu wachache wasiwawekee mazingira magumu ya kuishi wazanzibari wasio na hatia kwa sababu tu wanataka kukalia kiti cha Urais.
Wanataka nini Ikulu kwa nguvu zote hizo. Ni kweli ni kuwatumikia watanzania tu au kuna kingine?
Nitashangaa kuona Mtu amekua Waziri miaka 25 lakini bado anavuruga uchaguzi au anafanya njama za ushindi.
Uchaguzi wa haki uheshimiwe na wote. Lakini dhulma isikubalike kuwa ndiyo maisha ya waafrika muda wote.
Miaka 25 za uchaguzi Zanzibar inatosha kwa CCM kujiandaa kushirikiana na vyama vingine na kuwaachia nafasi ya kuongoza na wao wakashika umakamu.
Ni jambo baya sana kwa wachache kujiona ni haki yao kuwa na maisha maziri na ya anasa kupitia dhulma.
Mungu Ibariki Tanzania Bara na Visiwani pia.
Kwani wewe ni mzanzibari?Ushauri wangu Kwenu ni kwamba nimefurahi kuwa Prof Makame Mbarawa atakuwa Rais ila naomba Dkt. Mwinyi asiwe Makamu wa Pili wa Rais.
TumekusikiaHivi kwanini siri za ccm zinavuja kibwege sana ? Halafu hilo unalolisena halitoweza kutimia kwa vile ccm itashindwa vibaya sana kwenye uchaguzi huu
Atawadanganya ninyi wapenda damu wenzakesafari hii ameamua kugawana mbao
Mkuu pengine hilo litakushangaza lakini kwa bahati mbaya ndio litakalo tokea!!! Nyakati zimebadilika na sasa hivi hakuna tena Wazanzibari hasa waliopo CCM wenye ujasiri wa kupigania na kulinda maslahi yao ya kisiasa. Wanapelekwa na upepo tu na wamekasimu madaraka yao jumla kwa Makao Makuu ya Chama pale DodomaAcha ramli chonganishi..!!
Unazijua vizuri siasa za Zanzibar wewe!!??Siasa za Upemba na Uunguja?
Atoke Mpemba aje Mpemba??
Hili halitoweza tokea asilani abadani.
Prof Mbarawa ni kiongozi mzuri sana kiutendaji ila CCM itampitishaje mtu ambaye hajawahi chaguliwa na watu hata kwa nafasi ya ubalozi wa Nyumba kumi ama usheha??
Mkuu hata Mimi nimejiuliza swali hilo Mara nyingi lakini nimepata majibu tofauti na 2015 kurudi nyuma.Bila shaka atashinda Maalim, swali langu: asipotangazwa atafanya nini? Napata mashaka makubwa.. ya Jecha kujirudia
Mkuu haya maneno ungeyasema kama unapiga kula peke yake, Unatangaza kushindwa kwa kula zinazopigwa na watu wengi?Hivi kwanini siri za ccm zinavuja kibwege sana ? Halafu hilo unalolisena halitoweza kutimia kwa vile ccm itashindwa vibaya sana kwenye uchaguzi huu