Zanzibar 2020 CCM Zanzibar kama ni kweli mmependekeza iwe hivi basi mnaenda kutengeneza Makundi na Mpasuko baina yenu

Sasa nakuelewa. Yawezekana wewe mwenyewe ndiye Masauni au Mpiga debe wake.

Kwakuwa umekiri mwenyewe kuwa Wazanzibri hivi sasa wamechoshwa na sura zile zle basi ni wazi wanahitaji mabadiliko ya kweli ya kimfumo. Na ili yote haya yatimie ni wazi wataiweka ccm pembeni. Tutarajie mabadiliko makubwa ya kihistoria huko Visiwani kwenye Uchaguzi Ujao.
 
Raisi ni Pereira silima
 
Your argument makes sense, kwa sasa akiua watu dunia itamuandama, haitamuacha. Naanza kupata mwanga!
 
Zanzibar itachukuliwa tu na mawazir wa maji kutoka bara, kama ckosei hata shein alikuwa wazir i wa maji, sasa mrithi wake Mbarawa nae anapewa nchi.
 
Kwa hiyo masauni ni sura mpya ila ni masauni yuleyule au?
 
Katiba sio msaafu, wabadilishe kuwe na Maraisi watano Watu waridhike kuepusha mpasuko.
 
Kwa pointi hii nakuunga mkono. LAKINI CCM MWAKA HUU KURUDI MADARAKANI HAPA VISIWANI ZANZIBAR NI NDOTO.
Chaguzi zote inasema hivyo. Nakumbuka Mzee Seifu alivyochimba mkwara 'Komando' kwamba hatomaliza muda wake mpaka kila Mtu akakaa chonjo aone nini kitatokea....nadhani ndiye aliyesababisha jamaa kuitwa/kujiita Komandoo.
 
Sio kila mabadiliko ni mabadiliko, mabadiliko ya kuacha kutumia Gari na kuanza kutumia Guta la kukokota kwa Punda si mabadiliko ni kujirudisha nyuma.
 
Mzukulu,

Najua waliopitishwa ni watano, unachoongea hakieleweki vinginevyo ujitambulishe we ni nani na unasema hayo kwa mamlaka gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…