Zanzibar 2020 CCM Zanzibar kama ni kweli mmependekeza iwe hivi basi mnaenda kutengeneza Makundi na Mpasuko baina yenu

Mzukulu,

Najua waliopitishwa ni watano, unachoongea hakieleweki vinginevyo ujitambulishe we ni nani na unasema hayo kwa mamlaka gani.

Tangia lini JamiiForums Members tumeanza Kulazimishana Kutambulishana kwa Majina yetu Kamili ( Halisia ) kabisa hapa? Umetumwa Kuniua au?
 
Wewe nchi hiyo haina mwenyewe, yoyote anaweza kuiongoza ilimradi akidhi vigezo....usitishe watu bhana, alaaa!
 
wacha wagawane fito tu, who cares?
 
Raisi akiwa Vuaji je?
 
Kwanza ni Mpemba,pili ameshindwa mara mbili mfurulizo kwenye uwakilishi.
Lakini la tatu hajakulia Zanzibar, kakulia nje kimasomo na kikazi.Kwa wazenj wamwona kama mtu wa kuja japo si wa bara.
Wapiga kura ni wazenj si akina Magufuli, kazi kweli kweli.
 
The content of your character and not your family background. If Mwinyi deserves lets be it.
 
Mnamuharibia Mbarawa
 
nimefurahi kuwa Prof Makame Mbarawa atakuwa Rais ila naomba Dkt. Mwinyi asiwe Makamu wa Pili wa Rais.
Yaani umeconclude kabisa kwamba Prof. Mbarawa ndio Rais mteule kabla hata ya mchakato kuisha hapo Dodoma?
 
Rejea alivyopita Magufuri, walisemaga kama wewe. Anayeongoza nchi sasa nani? asipopita Mbalawa basi hata Magufuri hata teuliwa na CCM. Pima uwezekano huo kama upo
 
Kwani pia Maalim Seif Sharrif ukimfuatilia Kiundani kabisa Ndugu hasa Chimbuko lake unadhani ni Mtanzania halisi kama tulivyo Mimi na Wewe?
Kwa upande wa Zanzibar Seif ni Mzanzibai halisi, ndio maana huwa wanamchgua kila uchaguzi,..

Kwa upande wa Tangayika labda itakuwa vyenginevyo, kwavile mmejaa ukabila,na Udini,pamoja na urangi wa ngozi ya mtu
 
Rejea alivyopita Magufuri, walisemaga kama wewe. Anayeongoza nchi sasa nani? asipopita Mbalawa basi hata Magufuri hata teuliwa na CCM. Pima uwezekano huo kama upo
Ndio maana nikasema "watu wengi hawazijui siasa za Zanzibar siasa za Upemba na Uunguja ni jambo sensitive sana linapokuja suala la kupata kiongozi"
 
Ni Mtanzania kwa kuzaliwa lkn sera na misimamo yake katika Muungano ni tatizo
Maalimu anafuata mtazamo wa wazanzibari wengi, tatizo lipo kwa waTanganyika wanaoona sera na mtizamo wa wazanzibari ni tatizo.
NCHI mbili ziliungana, sio nchi moja ili colonise nyingine. Hilo tusije tukasahau, kwa sababu wazanzibari hawawezi kusahau.
 
Mkoloni hakubali hilo
 
safi sana hata huyo Ngalawa poa tu kuliko matoto ya viongozi yamejazana kugombea urais bila aibu hivi utajiri wa familia zao hautoshi? mimi lakini napenda sana awe mzalendo wa kweli Jecha au Nahodha ,kwakuwa ni wakaazi wa Zenjibari!! wengine mkiwataja tu nasikia kichefuchefu! sipendi mno tabia za ngozi nyeusi!
 
Kwani pia Maalim Seif Sharrif ukimfuatilia Kiundani kabisa Ndugu hasa Chimbuko lake unadhani ni Mtanzania halisi kama tulivyo Mimi na Wewe?
Kule w
hawaitaji Mtanzania, Wanaitaji Mzanzibar tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…