Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Kwi kwi kwi kwi loooh WATU WENGINE banaaaaπ€£π€£π€£Mada yako nimeona umejaa chuki na majungu tu kusema vitu visivyo na ushahidi ikiwa ni muendelezo wa siasa za kimaskini za maji taka na kuchafuana!!ona sasa ninavyoihamisha direction hapa chini!!
Jecha ni chaguo letu wabara! ndie afaa kuwa rais kwa uzoefu, hekima na busara yuko nazo japo washamba waliojazana visiwani mnamzingua pliz enyi wazenji mliojaa damu ya ubaguzi mjazieni Jecha form zake za udhamini, ni mtu jasiri kuliko wote na mwenye akili kuliko wote Zenji...
Maneno ya kujifarijiSiku zote si Alhamisi akumbuke hilo
Mimi kundi langu ni wapiga kura wanyonge wanaodhulumiwa siku zote. Wananchi watayemchagua huyo ndiye nitayemuunga mkono
Mjiandae kutawaliwa na kiongozi aliyeteuliwa na watanganyika.Ndivyo unavyofikiri
Salaam Arbab!
Hivi wewe ni mwenzetu wa "upande" wa Kisiwandui ama ndio wale wanaohamahama vyama na Ashaikhul Muadhama Arbaab Maalim Seif?!!!
Hasta la Victoria CCM
Mimi ni Mzanzibari mpenda haki na ukweli. Kisiwandui imekuja na itaondoka kama vyama vyengine lakini Zanzibar itabaki
Nahodha ndio sufuri ni msindikizaji tu nachumia tumbo. Scandal zake zikianikwa utatapika
Acha kumtisha mzalendo Nahodha,acha kumsiliba nnya JEMBE letu la zamani kutoka Makunduchi ya Mwakakogwa,huna ulijualo lolote dhidi yakeπππ
Unamaanisha kuwa wanachama wenzetu wa CCM upande huo ni mchwa na kupe wasioendana na kasi ya JPM?!!Malengo yangu ni kuwepo haki , ukweli, na ustawi wa jamii , Zanzibar imegeuzwa hell on earth
Unamaanisha kuwa wanachama wenzetu wa CCM upande huo ni mchwa na kupe wasioendana na kasi ya JPM?!!
We si bure utakuwa ni kijana wa Maalim Seif na msaidizi wa Mjanja Mjanja Zitto Kabwe ππ
Hakuna hata siri kila mtu anajua kabla hajawa waziri kiongozi alikuwa vipi na baada ya miezi isiyofika mitatu kafanya nini. Unguja ni ndogo hata ukijamba harufu kila mtu anaisikia
Ha ha ha tutafika tu insh'allahHaki ya kusema utakalo unayo, hajakukataza mtu
Mimi ni Mzanzibari mpenda haki na ukweli. Kisiwandui imekuja na itaondoka kama vyama vyengine lakini Zanzibar itabaki