CCM45: Chama cha Mapinduzi chavisihi na kuviomba vyama vya siasa nchini kuendeleza umoja wa kitaifa, kuthamini na kukuza ustawi wa demokrasia iliyopo

Nilipofikia Sentensi hii imebidi niache kusoma huu uzi!
" Bahati nzuri kwa muda wote wananchi wameonesha imani kubwa kwa Chama chetu kwa kuendelea kukichagua na kukipa heshima ya kuliongoza taifa letu''.
 
Wamuachie Mbowe na wenzake bila masharti yoyote kwanza. Hawawezi kutesa watu halafu wana tangaza mshikamano.
 
Nchi imejaa udhalimu, police kuua raia, Police kubambikia watu kesi, kufunga wapinzani wa kisiasa, unasikini, elimu isiyo Mkombozi kifikra na ujinga ulio topea!!!
Haya yote chanzo ni CCM
Ni kweli hayo unayoyaongea yapo. Ila CCM, Jeshi na usalama wa Taifa wana heshima yao kubwa katika hii nchi. Tunaoelewa na tulioona mlichoifanyia hii nchi Tunashukuru pamoja na makando kando yoote yaliyopo.

Wakati sahihi utakapofika chama tofauti kitakapochukua nchi zoezi lifanyike kwa amani.
 
Vyama vingine mnamengi ya kujifunza toka Chama Changu Cha Mapinduzi,

Tangu mwaka 1992 hadi sasa ni miaka 30,

Sio kweli kwamba vyama vyenu ni vichanga ila wengi wenu hammaanishi,

Asante sana Crde Shaka Hamdu Shaka hazina ya CCM-Tanzania
Wewe kweli una shida kichwani. CCM ingekuwa imara ingeogopa mikutano ya vyama vingine!!!
 
Hakuna chama chochote hapa Tanzania kinaweza kuitoa ccm madarakani ,nichama kinachopendwa sana na Mwenyekiti wa ccm Taifa anakubalika sana , Mungu MPE maisha marefu Raisi wetu mh Samia suluhu ,kidumu chama chamapinduzi
 
Vyama vingine mnamengi ya kujifunza toka Chama Changu Cha Mapinduzi,

Tangu mwaka 1992 hadi sasa ni miaka 30,

Sio kweli kwamba vyama vyenu ni vichanga ila wengi wenu hammaanishi,

Asante sana Crde Shaka Hamdu Shaka hazina ya CCM-Tanzania

..1992 - 1962 = 30.

..huo ni muda ambao Tanu / Ccm ilikuwa chama pekee cha siasa hapa Tanzania.

..kwa miaka 30 kabla ya vyama vingi kurudishwa Ccm ilikuwepo ktk taasisi zote hapa nchini ikiwemo jwtz, usalama wa taifa, na polisi.

..huwezi kuilinganisha Ccm na vyama vingine vya siasa wakati vyenyewe vimeanzishwa baada ya Ccm kuwa na ukiritimba wa siasa za Tz kwa muda mrefu huko nyuma.
 
Lakini mmekua na kukomaa sasa
 
Lakini mmekua na kukomaa sasa

..experience ya vyama vya upinzani ni tofauti sana na ya Ccm.

..unatakiwa ulinganishe baina ya vyama vya upinzani vyenyewe ndipo u-conclude kwamba chama fulani kinakua, au kimedumaa.

..kwa mfano, ukilinganisha Nccr vs Cuf hutakuwa umekosea, kwasababu ni vyama vilivyoanzishwa pamoja, na wakati wote vimefanya siasa ktk mazingira yanayofanana.

..Ccm ni chama tofauti kulinganisha na vingine kwasababu chenyewe kimeanzishwa na kujitanua wakati wa mfumo wa chama kimoja, na chama kushika hatamu.
 
Tataizo la Vyama vya Upinzani badala ya kwenda mbele vinarudi nyuma,

Iko wapi NCCR?
Iko wapi CUF?
Iko wapi CHADEMA

Vyama hivi vinakua na kusinyaa haraka
 
Vimefika ukomo wake sababu 1 tu hawabadilishi viongozi wao iliwapate nguvu, akili, ujasiri na mbinu mpya.
 
Back
Top Bottom