Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
inaurefu gani hii makala, Tatizo lako hupendi kusikia neno "CCM"
UTATESEKA SANA TU,
Imesomwa na watu wangapi mpaka sasa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
inaurefu gani hii makala, Tatizo lako hupendi kusikia neno "CCM"
UTATESEKA SANA TU,
Lissu hataki hiyoWamuachie Mbowe na wenzake bila masharti yoyote kwanza. Hawawezi kutesa watu halafu wana tangaza mshikamano.
Hata kama wangekuwa watano shida iko wapi?Imesomwa na watu wangapi mpaka sasa?
Ndiyo CCM chi kikundi Cha kigaidi, wewe unajua na Mungu anajua hiloUnaweza kuthibitisha hili mkuu sangai galgano
Ni kweli hayo unayoyaongea yapo. Ila CCM, Jeshi na usalama wa Taifa wana heshima yao kubwa katika hii nchi. Tunaoelewa na tulioona mlichoifanyia hii nchi Tunashukuru pamoja na makando kando yoote yaliyopo.Nchi imejaa udhalimu, police kuua raia, Police kubambikia watu kesi, kufunga wapinzani wa kisiasa, unasikini, elimu isiyo Mkombozi kifikra na ujinga ulio topea!!!
Haya yote chanzo ni CCM
Hata kama wangekuwa watano shida iko wapi?
Wewe kweli una shida kichwani. CCM ingekuwa imara ingeogopa mikutano ya vyama vingine!!!Vyama vingine mnamengi ya kujifunza toka Chama Changu Cha Mapinduzi,
Tangu mwaka 1992 hadi sasa ni miaka 30,
Sio kweli kwamba vyama vyenu ni vichanga ila wengi wenu hammaanishi,
Asante sana Crde Shaka Hamdu Shaka hazina ya CCM-Tanzania
Ndio uimara wenyewe huo,Wewe kweli una shida kichwani. CCM ingekuwa imara ingeogopa mikutano ya vyama vingine!!!
Tuko pamoja mkuuAhsante kwa taarifa...
Halihitaji utafitiUnaweza kuthibitisha hili mkuu sangai galgano
Vyama vingine mnamengi ya kujifunza toka Chama Changu Cha Mapinduzi,
Tangu mwaka 1992 hadi sasa ni miaka 30,
Sio kweli kwamba vyama vyenu ni vichanga ila wengi wenu hammaanishi,
Asante sana Crde Shaka Hamdu Shaka hazina ya CCM-Tanzania
Lakini mmekua na kukomaa sasa..1992 - 1962 = 30.
..huo ni muda ambao Tanu / Ccm ilikuwa chama pekee cha siasa hapa Tanzania.
..kwa miaka 30 kabla ya vyama vingi kurudishwa Ccm ilikuwepo ktk taasisi zote hapa nchini ikiwemo jwtz, usalama wa taifa, na polisi.
..huwezi kuilinganisha Ccm na vyama vingine vya siasa wakati vyenyewe vimeanzishwa baada ya Ccm kuwa na ukiritimba wa siasa za Tz kwa muda mrefu huko nyuma.
Lakini mmekua na kukomaa sasa
Wezi wa kura mnazungumzia demokrasia? Hamuoni aibu?Bila CCM, Tanzania itayumba ukweli ndio huo tunataka hatutaki ,
Someni hiyo hotuba neno kwa neno,
Tataizo la Vyama vya Upinzani badala ya kwenda mbele vinarudi nyuma,..experience ya vyama vya upinzani ni tofauti sana na ya Ccm.
..unatakiwa ulinganishe baina ya vyama vya upinzani vyenyewe ndipo u-conclude kwamba chama fulani kinakua, au kimedumaa.
..kwa mfano, ukilinganisha Nccr vs Cuf hutakuwa umekosea, kwasababu ni vyama vilivyoanzishwa pamoja, na wakati wote vimefanya siasa ktk mazingira yanayofanana.
..Ccm ni chama tofauti kulinganisha na vingine kwasababu chenyewe kimeanzishwa na kujitanua wakati wa mfumo wa chama kimoja, na chama kushika hatamu.
Vimefika ukomo wake sababu 1 tu hawabadilishi viongozi wao iliwapate nguvu, akili, ujasiri na mbinu mpya.Tataizo la Vyama vya Upinzani badala ya kwenda mbele vinarudi nyuma,
Iko wapi NCCR?
Iko wapi CUF?
Iko wapi CHADEMA
Vyama hivi vinakua na kusinyaa haraka