CDC Africa: Vipimo vya Corona Virus vinavyotumika Tanzania vinafanya kazi vizuri


Why should John Nkengason panic at this level?....The President simply directed an investigation over the conduct of the lab to clear the wind of unreliability over the reported abnormality of COVID -19 testing result. He should shut up and wait for the outcome.
 
Afiche ukweli ili apate nini? yeye ndo alouleta huo ugonjwa? yeye anayo tiba ya huo ugonjwa? nyie huo mnaouita ukweli mumewapimia wapi hao wagonjwa pamoja na marehemu? ugonjwa umeisha kwa kueleza hicho mnachoita ukweli? Pathetic...
 
Afiche ukweli ili apate nini? yeye ndo alouleta huo ugonjwa? yeye anayo tiba ya huo ugonjwa? nyie huo mnaouita ukweli mumewapimia wapi hao wagonjwa pamoja na marehemu? ugonjwa umeisha kwa kueleza hicho mnachoita ukweli? Pathetic...
Very stupid!! Kama ugonjwa hujaisha how come tena unahoji afiche ili apate nini?! Na kama hafichi, kwanini hawataji cases mpya?

Endeleeni tu kutetea upumbavu, cku mtakavyozika wazazi wenu ndo mtaingia akili kama Msukule mwenzenu mmoja aliyekuwa anaitetea Mlongazila Hospital hadi cku kaka ake akafia hapo hapo Mlongazila bila huduma, na alivyo mpumbavu akaja kulia lia tena JF
 
Kweli vita ya kiuchumi si mchezo
yaani tunajibiwa na muafrica mwenzetu kabisaaa mtengenezaji vifaa yeye katulia kimyaaaa
 
kweli vita ya kiuchumi si mchezo
yaani tunajibiwa na muafrica mwenzetu kabisaaa mtengenezaji vifaa yeye katulia kimyaaaa
Ina maana hufahamu wajibu wa huyo aliyejibu kwenye hivyo vifaa?!
 
Ina maana hufahamu wajibu wa huyo aliyejibu kwenye hivyo vifaa?!
jamaa amejibu tu
hata kusema leteni vifaa vyenu tuchek kama vina errors
mbona kampuni kadhaa za magari kwa mf huwa wanarudisha baadhi ya brand kwa marekebisho baada ya wateja kulalamika kuwa zina matatizo
 
jamaa amejibu tu
hata kusema leteni vifaa vyenu tuchek kama vina errors
mbona kampuni kadhaa za magari kwa mf huwa wanarudisha baadhi ya brand kwa marekebisho baada ya wateja kulalamika kuwa zina matatizo
Tofautisha kati ya Mteja na Wateja!! Mbali na Magufuli (manake sio Tanzania), nchi gani nyingine imelalamikia hizi kits?!

Na usiseme jamaa amejibu tu, unatakiwa kufahamu CDC Africa ndio walikuwa responsible kwenye supply ya hivi vifaa! Kabla hawajasambaza hivyo vifaa, wanatakiwa kujiridhisha ubora wake.
 
Vipi tangu utumbuzi umepita kwenye maabara yetu vipi wapeleke upya sample tena ili tuchek majibu
 
It's like me buying car from a dealer, then three days later finding out the transmission slips at cruising speed of 60km/h. Calling my dealer to complain about a lemon she sold me, only to be told, "we know it's working".

I got your point, but people are still sick and dying, whats the cause?
 
Return of the Undertaker,mtu anayejua African Centre for Disease Control hawezi kujali mawazo yake.The organization is almost fully owned by Anthony Fauci:the Vaccine Mafia,Bill Gates:the King of Vaccines or the reincarnation of Satan and the WHO.

So what do you expect,surely they will push the agendas of Anthony Fauci,Bill Gates and the WHO.And what is the agenda of these three entities,to vaccinate humanity.Testing is only one of the steps towards mass vaccinations remember
.
 
india kwani malalamiko yao yalikua nini?
 
Mimi na wewe tuna mawazo yanayofanana, mfano mtu anaweza test positive then akafa baadae na wakachua swap tena kwenye hio maiti na kukuta negative, corona imeifanya dunia kuwa sasa watu hawafi kwa magonjwa mengine
 

My rubbish was directed at cdc pigs, President Niko pamoja nae kwenye hii ishu mia mia mpaka mwisho
 
kuna jamaa amesema hakuna nchi iliyotoa malalamiko kuhusu hizo kits
ndo nikawa namshangaa hajasikia india ikituhumu pia hizo kits

Magufuli ni mtu mwenye tabia very unique...... Frankly speaking dunia nzima inawashaangaa Wadanganyika walichaguaje Rais kama huyu!!!
 
WHO ni wajinga huwezi kutetea machine kabla hujafanya uchunguzi. Kuna mawili either machine ni mbovu na hazitakiwa kufanya vipimo au kuna hujuma. Hili liliwekwa wazi na JPM. Hata computer ukinunua inaweza kugoma kufanya kazi vizuri au machine yoyote ile.

La msingi WHO wangesema wanatuma wataalam wao kuangalia kama tatizo ni machine au kuna hujuma kutoka kwa wafanyakazi nk kabla ya kutoa taarifa yao. Sio Tanzania tu kuna nchi nyingine ambazo zimelalamikia machine hizi za kupima nk. UK zinoza machine walizoagiza kwa pesa nyingi tu kwa kufanya vipimo na ilibidi waagize nyingine.
 
kuna jamaa amesema hakuna nchi iliyotoa malalamiko kuhusu hizo kits
ndo nikawa namshangaa hajasikia india ikituhumu pia hizo kits

Mkuu am puzzled we people object that thinking is among of the wealth we have in abundance, am always very greatful when I experience diversity in terms of thinking, all other things might be limiting but am glad thinking is free
 
Magufuli ni mtu mwenye tabia very unique...... Frankly speaking dunia nzima inawashaangaa Wadanganyika walichaguaje Rais kama huyu!!!

I care less of what they say, i thank God after so many decades we have a true son of Africa and good enough he is a capitalist too
 

Hizi Test Kits za Covid-19 zilitoka China kama msaada uliotolewa na tycoon Jack Maa kusaidia nchi za Kiafrika katika kupambana na Covid-19. CDC ndo walipewa jukumu la kusambaza hizo Kits kwa nchi za Kiafrika.
Je, inakuwaje Tanzania peke yake ndo wawe na Kits fake/defective?
Lakini pia kama ingelikuwa ni nji insyoongozwa na mtu makini Serikali walipaswa kupeleka SAMPLES zenye Utata kwa jirani zao wenye Kits Kama hizo kujiridhisha k.m. Kenya,Uganda, Rwanda, RSA n.k kuliko KUANZA kupayuka hadharani....!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…