Hizi Test Kits za Covid-19 zilitoka China kama msaada uliotolewa na tycoon Jack Maa kusaidia nchi za Kiafrika katika kupambana na Covid-19. CDC ndo walipewa jukumu la kusambaza hizo Kits kwa nchi za Kiafrika.
Je, inakuwaje Tanzania peke yake ndo wawe na Kits fake/defective?
Lakini pia kama ingelikuwa ni nji insyoongozwa na mtu makini Serikali walipaswa kupeleka SAMPLES zenye Utata kwa jirani zao wenye Kits Kama hizo kujiridhisha k.m. Kenya,Uganda, Rwanda, RSA n.k kuliko KUANZA kupayuka hadharani....!!!!!
I care less of what they say, i thank God after so many decades we have a true son of Africa and good enough he is a capitalist too
Kwanza kabla hujakurupuka uwe unacheki fact zako.Dr anaitwa nkengasong tipikal atakuwa mkikuyu.
Ur entitled to ur opinion, may I equally and frankly open another version of sons and daughters of Africa, am buzzing up not to be rigid, may you agree to disagreeYou must be really joking....!!
Magufuli?The same Magufuli I know being a true son of Africa?
What gonna you say about the following:
- Mwl. J.K.Nyerere-rip(Father of our nation).
- Sheikh Aman Abeid Karume(rip)1st presida Zanjbar.
- Nelson Honlala Mandela(rip)-1st Black presida to RSA.
- Kwame Nkhruma(rip)-Ghana.
- Patrice Lumumba (rip)-1st PM-DRC.
- Samora Moises Machel(rip)-Mocambique 1st Presida.
- etc!
Where are
PhD holders
Professors
Ndo nimegoma kurud shule mpaka leo..Bora nibakie na kaelimu kangu..nitafute hela tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Agree to disagree.....!!!🤣🤣Ur entitled to ur opinion, may I equally and frankly open another version of sons and daughters of Africa, am buzzing up not to be rigid, may you agree to disagree
Ulichosema ni sahihi kabisa; na ndio maana hata argument ya Magu inaonakena kiroja kutokana na njia aliyotumia!Hizi Test Kits za Covid-19 zilitoka China kama msaada uliotolewa na tycoon Jack Maa kusaidia nchi za Kiafrika katika kupambana na Covid-19. CDC ndo walipewa jukumu la kusambaza hizo Kits kwa nchi za Kiafrika.
Je, inakuwaje Tanzania peke yake ndo wawe na Kits fake/defective?
Lakini pia kama ingelikuwa ni nji insyoongozwa na mtu makini Serikali walipaswa kupeleka SAMPLES zenye Utata kwa jirani zao wenye Kits Kama hizo kujiridhisha k.m. Kenya,Uganda, Rwanda, RSA n.k kuliko KUANZA kupayuka hadharani....!!!!!
But how many ? Nchi ngapi za afrika zimelalamikia vifaa mpaka sasa? Well ni tz tu.Hili jamaa la Africa CDC bonge la dunderhead!
Unajuaje hakuna manufacturing defect ?
Hata ukinunua gari jipya Japan, zero mileage, halafu ukawapigia simu baada ya wiki mbili kwamba gari lenu bovu, hawawezi kukubishia "hilo gari ni zima!!!!
Wakati wewe consumer ndio unacho chombo mkononi na una experience chombo kibovu!
Sad but tunaonekana fools uko nje. Till today najiuliza was it necessary kufanya hayo.. au anatafuta watu wa kuwadondoshea lawama baada ya kuona meli inamshinda?Hata ingekuwa mimi ninge reject pia.
Hivi kweli mtu unaweza kwenda porini kukimbizana na kware ili upate sample ya kuwategeshea lab technicians! Hivi mapapai na mafenesi na kipimo cha RNA ya kirusi cha Corona wapi na wapi. Hii quality assurance na quality control ya wapi?
Yaani wenzetu wako busy kupambana na ugonjwa kwa kuchukua decisive measures. Sisi tunapima mbuzi, kondoo na mafenesi.
Agree to disagree.....!!!🤣🤣
Can you please elaborate this kind of an odd statement?
To be honestly Dr.magufuli is not a professor.There's only one PhD holder and Professor in Tanzania. His Excellency Dr. John Joseph Pombe Magufuli!
The rest of them graduands must listen dearly and carefully from Chatoo!
Ben akirudi tùtaitambua hiyo PhDHapo chini si kweli. Ukweli ni (PhD).
Ndio. Ni witch hunting na kuwafanya wengine kuwa scapegoat.Sad but tunaonekana fools uko nje. Till today najiuliza was it necessary kufanya hayo.. au anatafuta watu wa kuwadondoshea lawama baada ya kuona meli inamshinda?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe PhD yako ni ya chuo gani ??Ila kuna watu ni mizigo ya haja kabisa.
Jiwe pamoja na PhD koko ya UDSM bado kichwa kimejaa uozo, hajastaarabika kabisa.
Elimu imedunda kabisa
Nimekuelewa.Ben akirudi tùtaitambua hiyo PhD
That was the point of doing the investigation, they're trying to look for a root cause. The machines could be faulty, may be there was a plot to sabotage the image of the country, some of the test kits could have been deliberately infected, there are a lot of questions to be answered.I got your point, but people are still sick and dying, whats the cause?
Tatizo Rais wetu haoni shida ofisi kupotezewa heshima?
Yeye angeyaacha haya mambo kwa wataalam wanasayansi. Yeye siyo mwanasayansi. Kama ana mashaka yoyote, alistahili kueleza mashaka yake kwa wanasayansi. Wanasayansi ndiyo wangeifanya kazi ya quality control and analysis. Kosa kubwa ni pale Rais anapofikiria kuwa TISS wanaweza kumpa majibu ya uhakika. TISS wengi tunawafahamu, siyo wanasayansi. Wengine hata hawastahili kuwepo huko TISS. Wameigeuza kazi ya Intelligence kuwa sawa na umbea/majungu.
Rais Magufuli amesoma masomo ya Sayansi lakini hajawahi kuwa mwanasayansi.
Tangu amalize PhD yake, hajawahi kuingia maabara kufanya study yoyote ya Sayansi, hajawahi kushiriki conferences zozote za kisayansi ambazo huelezea maendeleo katika fani mbalimbali za Sayansi, hajawahi kushiriki kufanya research zozote za Sayansi.
Kimsingi, yeye ni mwanasiasa. Muda wake mwingi wa maisha yake umeutumia kwenye siasa. Ni mwansiasa kuzidi hata waliosomea masomo ya siasa ambao hawajawahi kufanya siasa.
Ni kosa kubwa kufikiria kuwa ukisomea masomo tu ya sayansi, basi wewe ni mwanasayansi au ukisomea tu masomo ya sheria basi umekuwa mwanasheria, japo unakuwa na advantage ndogo ya uelewa yakiwa yanaongelewa mambo ya fani ambayo masomo ya fani hiyo ulipata kuyasoma.
Rais ni mwanasiasa. Anashinda anaongea siasa, anawaza siasa, analala akiota siasa. Huyu ni mwanasiasa. Asisahau kuwa kuna watu ni wanasayansi, kuna watu ni wataalam wa maabara. Wanashinda kwenye maabara, mazungumzo yao karibia yote yanahusu mambo ya maabara, semina na conferences zote wanazohudhuria, zinahusu maabara, makala nyingi wanazosoma zinahusu maabara, hawa ni wataalam wa maabara.
Vifaa vya maabara havinunuliwi kama mashati. Mtengenezaji wa vifaa vya maabara ili vifaa vyake viweze kufanya kazi iliyokusudiwa, hufanyiwa majaribio, na huidhinishwa na WHO. Kama kweli kuna hitilafu ya uwezo wa vifaa vinavyotumika maabara yetu ya Taifa, wa kwanza tunaotakiwa kuwashutumu ni WHO ambao wameruhusu vifaa hivyo vitumike. Wengine wanachanganya kati ya vifaa vya maabara kwaajili ya kupima Covid 19 na quick test kits za Covid 19. Kuja baadhi ya nchi wamelalamikia quick test kits LAKINI siyo vipimo vya maabara kama hiki tunachokilalamikia sisi. Sasa wewe kulalamikia kitu ambacho hakijaonesha hitilafu sehemu nyingine yoyote, unastahili kufanya scientific tests hasa, na hizi za kuoima mafenesi na kwale wakati mtengenezaji hajaeleza kama kifaa hicho kinaweza kupima hivyo vitu.
Huwezi kwenda kuilaumu WHO kwa namna alivyofanya Rais wetu. Kulistahili kufanyika detailed scientific studies kuweza kuzidisqualify idara za WHO zilizoidhinisha kutumika kwa vifaa hivi.
The whole approach to this matter has been disgracefully wrong. Mwisho wa yote ni aibu kwa Rais wetu na kwa Taifa kwa ujumla.
Sent using Jamii Forums mobile app