CDC Africa: Vipimo vya Corona Virus vinavyotumika Tanzania vinafanya kazi vizuri

CDC Africa: Vipimo vya Corona Virus vinavyotumika Tanzania vinafanya kazi vizuri - JamiiForums
P
 
Duh...!. Tunaanza kunyoosheana vidole na kuitana hamnazo!. Uzalendo ni Patriotism, kuipigania nchi yako. Kama rais wako ni Mzalendo na anaipigania kwa dhati nchi yako, then uzalendo ni kusimama na rais wako, hata kama kuna maeneo anakosea, na yeye is only human, hivyo anaweza kufanya makosa!, na bado ukasimama nae.
CDC Africa: Vipimo vya Corona Virus vinavyotumika Tanzania vinafanya kazi vizuri - JamiiForums
P
 
Vipi matokeo ya uchunguzi kamati ya Umy Mwalimu. Je kushuhudia maajabu yale yale ya ripoti ya makanikia?
 
Jihadhari na uwapendao, covid19 tunayo kitaa
Ukisubiri takwimu za mzee Pombe kutoka Chato ndio uchukue hatua utapotea kabla ya kutimiza ndoto....
 
Huyu akiongelea magonjwa na madawa unamuelewa, siyo mtu umesomea "kutu" unajifanya kujua kila taaluma. Hata huyu tukikuta anaongelea chanzo cha ajali ya ndege tutamkatalia mchana kweupe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jihadhari na uwapendao, covid19 tunayo kitaa
Ukisubiri takwimu za mzee Pombe kutoka Chato ndio uchukue hatua utapotea kabla ya kutimiza ndoto....
Thank you for the advice na tahadhali hii inawafaa zaidi wafuasi wa Magu; binafsi nafahamu fika hatari iliyo mbele yetu, na ndio maana hata humu jamvini nimeandika sana hadi kuonekana namchukia Magu!

Naweza kupata corona au hata kufa kwa corona si kwa sababu sichukui tahadhali bali naweza kufanya mistake ndogo tu kwa kujua au kutojua, na ikawa mwisho wa mchezo!
 
Vitu vingine bora aongee waziri akiongea prezoo nchi inabeba mzigo wa kuonekana nchi ya vilaza!! Ndomaana tunakosa chanjo za watoto na kondom zinaadimika!!

Wanaotoa misaada wanaweza rudinyuma kuepuka kuonekana mabeberu wauaji!!
Tuwe positive tutajajikuta pabaya kimataifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…