The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
Alivyokuwa CDF akifanya nini kwenye tatizo hili?
Maji ni sehemu ya strategy ya usalama. Dunia inakwenda kupigana vita za kupigania maji.
Yeye alifanya nini kujiandaa na hili?
Wewe kaa kwa kutulia, si kila kitu unajifanya unajuaAlivyokuwa CDF akifanya nini kwenye tatizo hili?
Maji ni sehemu ya strategy ya usalama. Dunia inakwenda kupigana vita za kupigania maji.
Yeye alifanya nini kujiandaa na hili?
Hii nchi tuna shida sana, UDSM tu pale kuna maprofessor sio chini ya 100!! Ila tatizo la maji halina ufumbuzi mpaka leo. Unakuta wanajua changamoto ila wakuongea nani? Hakuna wa kusolve? Yote ili kulinda vyeo tu alafu wakitoka ndio wanaanza kueleza changamoto!!Alivyokuwa CDF akifanya nini kwenye tatizo hili?
Maji ni sehemu ya strategy ya usalama. Dunia inakwenda kupigana vita za kupigania maji.
Yeye alifanya nini kujiandaa na hili?
Kwani hayo yaliyopo tume utilize mpaka Ziwa Malawi tulione la muhimu kiasi hiko?Wewe kaa kwa kutulia, si kila kitu unajifanya unajua
Hio sio kazi yake
Anaongelea vyazo vya maji vilivyo nchini
Na yes alikuwa tayari kukiwasha na Malawi walivyosema ziwa lote la kwao, majeshi yalipelekwa huko kuwataarifu kuwa tuko tayari kwa lolote
Hakuna political will ya kutatua tatizo.Hii nchi tuna shida sana, UDSM tu pale kuna maprofessor sio chini ya 100!! Ila tatizo la maji halina ufumbuzi mpaka leo. Unakuta wanajua changamoto ila wakuongea nani? Hakuna wa kusolve? Yote ili kulinda vyeo tu alafu wakitoka ndio wanaanza kueleza changamoto!!
Hii nchi sijui tumerogwa
Shida zote kazisababisha yeye, bi Minyonyo alishapigwa tanchi akaingilia kati kumkingia kifua.GT
Huko serikalini kuna mambo hayapo sawa hili lipo waazi kabisaa.
Huyu mzee namheshimu sanaa kama naye kafika hatua ya kuongea hivi something is wrong and burning 🔥 inside samia government wazalendo wnapuuzwa
Huyu jakaya itakuwa amewafiria wake zenu aisee, si kwa kumzushia hukuThe best he could do was lapdancing to Jakaya, and installing The Blood Countess 😁
Siyo maji tu yamemwagika. Lakini kwa ufahamu wa kisayansi uliopo sasa; hata hayo maji yangemwagika kweli, leo hii tungeweza kuyazoa na kuyahifadhi..GT
Huko serikalini kuna mambo hayapo sawa hili lipo waazi kabisaa.
Huyu mzee namheshimu sanaa kama naye kafika hatua ya kuongea hivi something is wrong and burning 🔥 inside samia government wazalendo wnapuuzwa
Segerea home pale mtaani barabara ya lami ameifikisha kitaa ndicho kikubwa alichofanya jirani yetu huyu muungwanaAlivyokuwa CDF akifanya nini kwenye tatizo hili?
Maji ni sehemu ya strategy ya usalama. Dunia inakwenda kupigana vita za kupigania maji.
Yeye alifanya nini kujiandaa na hili?
Laana imtafune popote alipo yeye na kizazi chake chote.GT
Huko serikalini kuna mambo hayapo sawa hili lipo waazi kabisaa.
Huyu mzee namheshimu sanaa kama naye kafika hatua ya kuongea hivi something is wrong and burning 🔥 inside samia government wazalendo wnapuuzwa
Nadhani wewe na yeye hamko kwenye ukurasa mmoja japokuwa wote mnazungumzia maji.Alivyokuwa CDF akifanya nini kwenye tatizo hili?
Maji ni sehemu ya strategy ya usalama. Dunia inakwenda kupigana vita za kupigania maji.
Yeye alifanya nini kujiandaa na hili?
Acha kumtetea muharibifu mkuu aliyekalia kiti kisa wote mnamtii mwamed wa makaAlivyokuwa CDF akifanya nini kwenye tatizo hili?
Maji ni sehemu ya strategy ya usalama. Dunia inakwenda kupigana vita za kupigania maji.
Yeye alifanya nini kujiandaa na hili?
Huyu ndo katufikisha hapa tulipo. Kwahiyo akae kimya tuGT
Huko serikalini kuna mambo hayapo sawa hili lipo waazi kabisaa.
Huyu mzee namheshimu sanaa kama naye kafika hatua ya kuongea hivi something is wrong and burning 🔥 inside samia government wazalendo wnapuuzwa
Of course hatuko kwenye ukurasa mmoja, yeye ni yeye na mimi ni mimi.Nadhani wewe na yeye hamko kwenye ukurasa mmoja japokuwa wote mnazungumzia maji.