MD SPECIAL
JF-Expert Member
- Jul 4, 2025
- 1,161
- 2,812
Nchi ngumu sana hii.
Kumbe Jakaya ni mfiraji ?Huyu jakaya itakuwa amewafiria wake zenu aisee, si kwa kumzushia huku
Hii nchi tuna shida sana, UDSM tu pale kuna maprofessor sio chini ya 100!! Ila tatizo la maji halina ufumbuzi mpaka leo. Unakuta wanajua changamoto ila wakuongea nani? Hakuna wa kusolve? Yote ili kulinda vyeo tu alafu wakitoka ndio wanaanza kueleza changamoto!!
Hii nchi sijui tumerogwa
Kuchele...!!!!GT
Huko serikalini kuna mambo hayapo sawa hili lipo waazi kabisaa.
Huyu mzee namheshimu sanaa kama naye kafika hatua ya kuongea hivi something is wrong and burning 🔥 inside samia government wazalendo wnapuuzwa
Bwege huyoGT

Huu ni mjadala unaohitaji kujadiliwa kwa kina; lakini najuwa JF siku hizi haya mambo hayana nafasi mbali ya kuwa machawa, n.k.Hii nchi tuna shida sana, UDSM tu pale kuna maprofessor sio chini ya 100!! Ila tatizo la maji halina ufumbuzi mpaka leo. Unakuta wanajua changamoto ila wakuongea nani? Hakuna wa kusolve? Yote ili kulinda vyeo tu alafu wakitoka ndio wanaanza kueleza changamoto!!
Hii nchi sijui tumerogwa
Cc Hamichi KigwangwalaWakishakuwa nje ndio wanatia akili.
Huyu jakaya itakuwa amewafiria wake zenu aisee, si kwa kumzushia huku
Mnahangaika sn nyie.GT
Huko serikalini kuna mambo hayapo sawa hili lipo waazi kabisaa.
Huyu mzee namheshimu sanaa kama naye kafika hatua ya kuongea hivi something is wrong and burning 🔥 inside samia government wazalendo wnapuuzwa
Mpaka anatoka hadharani pengine hajasikilizwa. Unategemea CDF aelekeze mawaziri nini chankufanya?Alivyokuwa CDF akifanya nini kwenye tatizo hili?
Maji ni sehemu ya strategy ya usalama. Dunia inakwenda kupigana vita za kupigania maji.
Yeye alifanya nini kujiandaa na hili?
Well, at a minimum, we listen to fully understand what someone is saying, not to prepare to react to what we hear!Of course hatuko kwenye ukurasa mmoja, yeye ni yeye na mimi ni mimi.
But that says nothing about the point I raised. It is neither here no there.
It is a pointless truism, a vacuous tautology that doesn't help us learn anything new.
Itakuwa TEMEKE hukoWaafrika kwa kuongea tu hawajambo, kwenye kupanga sasa na discipline ya kufanikisha ndio shida.
Tanzania maji ni bwerere ukitaka kuona hilo tazama idadi ya nyumba zenye visima binafsi kila mtaa Dar tu.
Yuko jamaa yangu nilikuwa namchokoza kipindi cha mgao wa maji kwake anakisima kwake. Mjomba si umelangua watu hapo ukosi hela ya kukunja nne hata week bar. Akaniambia hayo maji nimuuzie nani mtaani karibu kila mtu anakisima chake au ana ndugu mwenye kisima.
Utapanga hela huna!?.. kutoa maji Viktoria kupeleka baadhi ya wilaya tabora imebidi mhindi atupe helaWaafrika kwa kuongea tu hawajambo, kwenye kupanga sasa na discipline ya kufanikisha ndio shida.
Tanzania maji ni bwerere ukitaka kuona hilo tazama idadi ya nyumba zenye visima binafsi kila mtaa Dar tu.
Yuko jamaa yangu nilikuwa namchokoza kipindi cha mgao wa maji kwake anakisima kwake. Mjomba si umelangua watu hapo ukosi hela ya kukunja nne hata week bar. Akaniambia hayo maji nimuuzie nani mtaani karibu kila mtu anakisima chake au ana ndugu mwenye kisima.
🫡Itakuwa TEMEKE huko