CDF mstaafu, Mabeyo aibuka na kuongelea Rasilimali. Aomba radhi kwa maneno yake

CDF mstaafu, Mabeyo aibuka na kuongelea Rasilimali. Aomba radhi kwa maneno yake

Utapanga hela huna!?.. kutoa maji Viktoria kupeleka baadhi ya wilaya tabora imebidi mhindi atupe hela
Mbona SGR tumeweza kuweka?
Usambazaji wa maji Tanzania nzima ni trilioni ngapi hadi tushindwe kuikusanya miaka 60+ yote hii ya uhuru, ila tukaweza kukusanya trilioni za kuweka treni ya umeme ndani ya miaka 5?
Kama treni tumeweza basi na maji pia tunaweza, hatujaamua tu, ni uzembe wetu wenyewe
 
Sgr mkopo kama maji ziwa Viktoria,kuyapeleka tabora tu 700+b
 
Hali mbaya sana kwa Samia, waliomtetea sasa wanaongea kiungwana kama CDF Mabeyo kiutu uzima kuwa hafurahii na kujuta kumkingia kifua huku kuna maovu makubwa dhidi ya uhai wa raia yanayoendelea nchini

Samia sasa akubali kuachia ngazi na kwenda ICC The Hague kubeba msalaba wake yeye mwenyewe.
 
Mpaka anatoka hadharani pengine hajasikilizwa. Unategemea CDF aelekeze mawaziri nini chankufanya?
Hajasikilizwa na nani? Hakuna watu wanaosikilizwa nchi hii kama wanajeshi.

Jeshi halina hata mpango wa akiba ya maji wa JKT.
 
Well, at a minimum, we listen to fully understand what someone is saying, not to prepare to react to what we hear!

Alichoongelea Gen Mabeyo kinahusu sera pana ya taifa, kitu ambacho kiko nje ya mandate ya TPDF. Obviously, sera ya taifa ya kilimo cha umwagiliaji au industrialization haiwezi kuwa agenda ya TPDF.
Hatuongelei kilimo na umwagiliaji.

Tunaongelea maji.

Wanaofuatilia migogoro ya dunia wanasema vita zinazokuja zitakuwa vita za kugombea maji.

Kama TPDF haijafanya lolote kujiandaa na tatizo la maji, haijafanya kazi yake.

This is a strategic issue.

Jeshi limeenda enda tu bila strategy kwenye mambo muhimu ya ulinzi.

Nchi ikiingia kwenye matatizo hawa wastaafu ambao hawajaiandaa nchi kuyakabili haya matatizo wanajitokeza kulialia.
 
Bora akae kimya tu asee.

Mzee Mobeyo kausha tu ule pensheni zako basi inatosha.

Leo hii ukilalamika sie wengine tufanyaje na wakati ulikua umeshika mpini ukashindwa kufanya maamuzi magumu

Kipindi nchi imeanguka chini ya mikono yako, ulikubali vipi kuikabidhi nchi kwa mwanamke? Kimbe dhaifu

Yaani kabisaa laivu bila chenga ukachukua nembo bibi na bwana ukamkabidhi mwanamke?

Mzee Mobeyo Jiulize hata wewe mwenyewe tu. Tangu uzaliwe ulishawahi kuiona nchi yetu hii kapewa mwanamke??

Au unadhani kipindi cha nyuma hakukuwepo na wanawake? Kina Nyerere wa wangewapa tu nchi kina bibi titi???

Bora hata ungempa nchi Ndugai, tukajua moja au hata mara 100 ungempa nchi Polepole kijana wetu mwenyewe huyu, asinge tubananga wala kutubagaza kama ilivyo sasa.

Eti ukaamua kufuata katiba(maneno yaliyotungwa miaka 60 huko yaje yafanye maamuzi katika dunia ya leo)

Katiba ni kijikitabu tu ulishindwa vipi kukichanilia mbali ukafanya maamuzi kwa masilahi mapana ya Tanganyika???

Mzee Mobeyo, ni kabila gani unalotoka wewe, ambalo utamaduni wake unaruhusu mwanamke kupewa madaraka/uongozi wa juu kiasi hiki.
Hivi huyu mzee ni kabila gani tuwaulize ndugu zake kama inaruhusiwa(Tanzania makabila yote ni watani)

mimi huwa simlaumu sana huyu mama kuwa hapo alipo, lakini ninawalaumu wale wote walioruhusu awe hapo eti kisa kijikitabu cha miaka ya 60 huko.

Ninaomba samahani kama wewe ulivyoomba pia
To be fair, Mabeyo anaweza kuwa kafanya makosa mengi na sasa hivi analialia tu.

Lakini suala la "kumkabidhi" nchi Samia baada ya kifo cha Magufuli lilikuwa ni kufuata katiba. Kwqnza hata hakumkabidhi, amkabidhi kwani nchi ilikuwa chini yake? Yeye alisimamia katiba tu.

Hujui kuwa kikatiba raia akifariki Makanu wa Rais anakuwa rais mpya?

Hivyo ndivyo katiba ya nchi inavyosema.

Na Samia anashindwa kuendesha nchi kwa sababu ni mjinga, si kwa sababu ni mwanamke. Acheni ibaguzi wa kijinga na nyie.
 
Umewahi kusikia huu usemi?

You’re damned if you do and damned if you don’t!

Chochote ambacho kingefanyika tofauti na Katiba inavyoelekeza kingekuwa uhalifu na angelaumiwa kwa hilo.

Bora mtu alaumiwe kwa kufuata Katiba kuliko kulaumiwa kwa kukiuka Katiba!
Kwa risk ya kumpa mwanamke nchi, asingelaumiwa popote.

Kwa sababu, kwa kumpa madaraka makubwa mwanamke(kiumbe emotional) unajua kabisa, huyu kuna siku atakuja kuamka akiwa emotional na atasema hakuna nywinywinywi wala nywanywanywa.

Na ipo siku huko mbele atakuja kusema mengine mengi tu kwa sababu ni kiumbe emotional
Na Samia anashindwa kuendesha nchi kwa sababu ni mjinga, si kwa sababu ni mwanamke. Acheni ibaguzi wa kijinga na nyie.
Mwanamke ni mwanamke tu Kiranga

View: https://youtu.be/n1hGGGb2_L4?si=ssZ-S76PolTWYH5N

Kukaa states kidogo unasahau tamaduni mzee.
 
Kwa risk ya kumpa mwanamke nchi, asingelaumiwa popote.

Kwa sababu, kwa kumpa madaraka makubwa mwanamke(kiumbe emotional) unajua kabisa, huyu kuna siku atakuja kuamka akiwa emotional na atasema hakuna nywinywinywi wala nywanywanywa.

Na ipo siku huko mbele atakuja kusema mengine mengi tu kwa sababu ni kiumbe emotional

Mwanamke ni mwanamke tu Kiranga

View: https://youtu.be/n1hGGGb2_L4?si=ssZ-S76PolTWYH5N

Kukaa states kidogo unasahau tamaduni mzee.

Sio kila kiongozi mwanamke ni wa ovyo kama huyo fazafaka! Angela Merkel, kwa mfano, alikuwa kiongozi mwanamke wa shoka!
 
Kwa risk ya kumpa mwanamke nchi, asingelaumiwa popote.

Kwa sababu, kwa kumpa madaraka makubwa mwanamke(kiumbe emotional) unajua kabisa, huyu kuna siku atakuja kuamka akiwa emotional na atasema hakuna nywinywinywi wala nywanywanywa.

Na ipo siku huko mbele atakuja kusema mengine mengi tu kwa sababu ni kiumbe emotional

Mwanamke ni mwanamke tu Kiranga

View: https://youtu.be/n1hGGGb2_L4?si=ssZ-S76PolTWYH5N

Kukaa states kidogo unasahau tamaduni mzee.

Katiba haitaki ubaguzi dhidi ya wanawake.

Unataka utawala wa kikatiba au utawala wa kubagua wanawake?
 
Hatuongelei kilimo na umwagiliaji.

Tunaongelea maji.

Wanaofuatilia migogoro ya dunia wanasema vita zinazokuja zitakuwa vita za kugombea maji.

Kama TPDF haijafanya lolote kujiandaa na tatizo la maji, haijafanya kazi yake.

This is a strategic issue.

Jeshi limeenda enda tu bila strategy kwenye mambo muhimu ya ulinzi.

Nchi ikiingia kwenye matatizo hawa wastaafu ambao hawajaiandaa nchi kuyakabili haya matatizo wanajitokeza kulialia.
Ndiyo maana nilisema wewe na yeye hamko kwenye ukurasa mmoja. Yeye anasema tuna baraka kubwa ya water resources yet tumeshindwa kujinufaisha nazo kwa kiwango cha kuridhisha. Katika context ya speech yake, therefore, geopolitical issues zinazohusiana na water resources ziko out of scope!
 
Kutokuwa katika kurasa mmoja is irrelevant.

Mimi na yeye ni watu tofauti. Hivyo tukiwa hatupo katika ukurasa mmoja si ajabu.

Lakini facts za geopolitics ya dunia hazijali hilo.

Kama alishindwa kuongoza vizuri, alishindwa kuongoza vizuri tu na hilo halijali kama mimi na yeye tupo kwenye same page ama la.

Kwa hivyo kusema mimi na yeye hatupo kwenye kurasa moja ni irrelevant, a needless truism, a logical non sequitur fallacy, a non factor tautology.
 
GT
Huko serikalini kuna mambo hayapo sawa hili lipo waazi kabisaa.

Huyu mzee namheshimu sanaa kama naye kafika hatua ya kuongea hivi something is wrong and burning 🔥 inside samia government wazalendo wnapuuzwa
unasema haya sababu upo nje system... mkund* na yeye atakuwa kama ww...ila hongera kwa kuthubu lkn bado
 
Tatizo kubwa ni CCM. Wanawaza kuiba tu kutengeneza hawaumizi vichwa vichwa
 
Back
Top Bottom