CDF mstaafu, Mabeyo aibuka na kuongelea Rasilimali. Aomba radhi kwa maneno yake

CDF mstaafu, Mabeyo aibuka na kuongelea Rasilimali. Aomba radhi kwa maneno yake

Kutokuwa katika kurasa mmoja is irrelevant.

Mimi na yeye ni watu tofauti. Hivyo tukiwa hatupo katika ukurasa mmoja si ajabu.

Lakini facts za geopolitics ya dunia hazijali hilo.

Kama alishindwa kuongoza vizuri, alishindwa kuongoza vizuri tu na hilo halijali kama mimi na yeye tupo kwenye same page ama la.

Kwa hivyo kusema mimi na yeye hatupo kwenye kurasa moja ni irrelevant, a needless truism, a logical non sequitur fallacy, a non factor tautology.
Well, you ought to play the cards you’re dealt. Otherwise, give your own speech (on your area of interest)!
 
Well, you ought to play the cards you’re dealt. Otherwise, give your own speech (on your area of interest)!
That is another irrelevant truism.

Of course people play the cards they are dealth with.

But that does not excuse them if they don't know how to play, did not play right, and then start complaining after the game.

Or if they joined a rigged game and then start to bitch about it after the fact.

Our leaders have this habit of critiquing the systems after they leave, without even showing us what they did.

I can understand a Warioba saying that I wrote this report, with these recommendations, I warned about corruption and civil unrest, but nobody paid attention, this government is the problem.

What did Mabeyo do?

What did the TPDF's Corps of Engineers do to prepare for this issue, even just for their barracks as an example for the country?

Does the TPDF even have a Corps of Engineers?

If yes, what are they doing?

If no, why not?

Why is Mabeyo not talking about that?

Why is he not talking about the military's contribution to solving these problems?
 
Alivyokuwa CDF akifanya nini kwenye tatizo hili?

Maji ni sehemu ya strategy ya usalama. Dunia inakwenda kupigana vita za kupigania maji.

Yeye alifanya nini kujiandaa na hili?
Dah ume nikumbusha mkataba wa kenya and usa, eti playing key part in ai through water supply!
 
hayapo sawa
Hivi alikuwa anaomba nani amsamehe!!! Kama una uhakika na unachosema ni cha ukweli na hakuna Nia ovu! unaomba msamaha wa nini?
====
Kuna Ndugu aliwahi kusema kuwa, wakati mwingine wanaigiza ugomvi ili wanayotaka kuwarudisha kwenye mstari sahihi wazubae
 
Alivyokuwa CDF akifanya nini kwenye tatizo hili?

Maji ni sehemu ya strategy ya usalama. Dunia inakwenda kupigana vita za kupigania maji.

Yeye alifanya nini kujiandaa na hili?
Absolutely 💯
 
That is another irrelevant truism.

Of course people play the cards they are dealth with.

But that does not excuse them if they don't know how to play, did not play right, and then start complaining after the game.

Or if they joined a rigged game and then start to bitch about it after the fact.

Our leaders have this habit of critiquing the systems after they leave, without even showing us what they did.

I can understand a Warioba saying that I wrote this report, with these recommendations, I warned about corruption and civil unrest, but nobody paid attention, this government is the problem.

What did Mabeyo do?

What did the TPDF's Corps of Engineers do to prepare for this issue, even just for their barracks as an example for the country?

Does the TPDF even have a Corps of Engineers?

If yes, what are they doing?

If no, why not?

Why is Mabeyo not talking about that?

Why is he not talking about the military's contribution to solving these problems?
I am not aware of any army (in the world) that has directly taken on a public policy of these dimensions. If you’re, please let us know!

Armies can significantly influence public policy, providing expertise and operational reality, but that’s no reason for us to ignore the fact that the ultimate decision-making rests with elected civilian leaders under civilian control.
 
Cairo, Egypt

Head of the Engineering Authority of the Armed Forces inspects the Parliament Building in the New Administrative Capital​

  • 174.jpg
  • 125.jpg
  • 181.jpg
  • 182.jpg
  • 183.jpg

Major General Ihab El Farr – Head of the Engineering Authority of the Armed Forces inspected the Parliament Building in the New Administrative Capital which is carried out by the Arab Contractors Company under the supervision of the Engineering Authority of the Armed Forces.
He was accompanied by Major General Hesham El Swefy - Managing Director of the Military Engineers Department, Major Gen. Emad Saafan - Assistant Manager of the Head of the Engineering Authority, Officials from the Engineering Authority, Eng. Sayed Farouk – CEO and President of the Arab Contractors Company, Eng. Ahmed El Assar – Senior Vice Chairman, Eng. Ahmed Abbass – Board Member and managers of the executing branches and department.
It is a noteworthy that the Parliament Building is built upon 110000m, it consists of the main building, the services building and the landscape works includes the fences, internal roads and the green areas.
The main building is built on 18000m; it includes a main hall which accommodates 1000 member, administrative offices; it comprises a basement, a ground floor, 8 typical floors, 2 domes with 50m diameter.
The project includes services buildings of: medical center – security– power station– electromechanical – firefighting - mosque accommodates 300 persons – multi storey garages built on 75.000m which accommodates 1500 cars.

Source : ArabCont dot com
 
Shida ya nchi hii ni UVIVU, ujanja ujanja na hayo ndo matunda au mazao ya CCM. CCM wameharibu sana philosophy na matarajio ya vijana, kwa kuaminisha mafanikio ya maisha yapo kwenye siasa, na kupitia short cut, kupeana vyeo.Matokeo yake most of the people wanaopata nafasi hawana UWEZO na UZALENDO. Na wenye uwezo wachache system haiwapi nafasi ya kutenda.Kwa nini politicians na viongozi wenye dhamana na maono wahangaike na hayo mambo wakati wao wanaenda Dubai, wanaperdiem za kufuru, wana mi VX, wanahonga, wanafanya ufisadi na hakuna anayechukuliwa hatua?Hatujawahi sikia mtu hata mmoja kashughurikiwa kwa ufisadi n.k.
Hii nchi kila sehemu tuko weak, ni vile tu mazingira ya kazi ya baadhi ya departments ni ngumu kuassess utendaji wake..Tunalalamikia Polisi kwa sababu tunakutana nao; Jeshi nalo tumeona lilivyo weak na watu wameanza kulinannga, maeneo yote ndo hivyo hivyo:Thus hao watekekezaji wa sera nao ni hivyohivyo.
 
Yaani unakuta waziri wa maji yuko kwenye msafara wenye thamani ya Billions. Then wanasema hatuna visima, et waziri anapita kukagua namna maji yalivyopungua, anapoteza na teama yake week kadhaa na kuchoma pesa, wakitoka hapo unasikia tunasubiri Mvua ziongezeke tupate huduma za maji! Mvua zikinyesha kila kitu kinaishia hapo na watu wanapokea mishahara na wanakula perdiem. Wanasubiri tena mwakani wafanye mzunguko uleule.Serious???????Hakuna mwenye uwezo wa kutatua chochote, kufanya vitu kwa vitendo....Mfano wangesema ili jambo hili lisijitokeze tumeanza mara moja kuchimba visima vya uhakika 1000...na kweli vinachimbwa bila wiziwizi.Huo ni mfano wa wizara moja tu..but wote ndo hivyohivyo.SISI NI WATU WA MANENO, SHOW OFF, SIO WATENDAJI
 
I am not aware of any army (in the world) that has directly taken on a public policy of these dimensions. If you’re, please let us know!

Armies can significantly influence public policy, providing expertise and operational reality, but that’s no reason for us to ignore the fact that the ultimate decision-making rests with elected civilian leaders under civilian control.

You are making a logical nonnsequitur fallacy. I am not unaware that the ultinate responsibility rests with civikian leaders, that is not my argument.

I am asking what did Mabeyo do?

Umeongelea jeshi ku influence public policy. Jeshi ka Tanzania kina influence kubwa sana.

Sasa hilo jeshi la Wananchi Tanzania wapi lime influence public policy kwenye jambo hili?

Kuna mwanajeshi gani hata mstaafu kaandika hata kitabu cha kuelezea matatizo haya na njia ya kuyatatua?

Mabeyo analalamikia tu tatizo, yeye mwenyewe alivyokuwa CDF alifanya nini ku influence public policy kwenye hili?

Hili ndilo swali, na hujalijibu.

Naelewa dhana ya civilian control of the military na nimeisema sana hapa, kwa hiyo sitegemei jeshi lifanyie kazi public policy moja kwa moja kwenye hili.

But where is Mabeyo's contribution?

Mabeyo ameshindwa hata kutoa an anecdotal story alivyokuwa CDF walikuwa na tatizo hili jeshini, wakalitatua hivi na vile kambi fulani, waliweka mfumo wa kuvuna maji ya mvua, ukafanya kazi, na hivyo wananchi wanaweza kugeza mfumo huo. This is not rocket science. Jeshini wangeweza kufanya hiki kwa urahisi kabisa.

Hata kutupa mfano kama huo tu kashindwa anabaki analalama kama mtu ambaye hakuwa na responsibility yoyote.
 
Alivyokuwa CDF akifanya nini kwenye tatizo hili?

Maji ni sehemu ya strategy ya usalama. Dunia inakwenda kupigana vita za kupigania maji.

Yeye alifanya nini kujiandaa na hili?
Kama hakupigania hatakiwi kuongea...?!
 
Kama hakupigania hatakiwi kuongea...?!
Kuongea ni haki yake ya kikatiba, lakini ni unafiki kupewa kazi kubwa, kulala kazini, halafu unastaafu unajifanya unaongea sana, wakati ulikuwa na nafasi ya kulifanyia kazi tatizo na hujafanya kitu.

Ni kama msanii anayetafuta kick tu.
 
Kumbe anatafuta Kick... Je yafaa apuuzwe...?!
 
Kumbe anatafuta Kick... Je yafaa apuuzwe...?!
Sasa huyu unamsikiliza na kumpa umuhimu ili iweje?

Hapo kasema kipi kipya kwa mfano useme umsikilize?

Kipi ambacho hakijawahi kusemwa?

Kipi ambacho kakifanyia kazi na kachangia yeye?

Huyu sasa hivi ukimsikia anaanza kurudi kwenye vichwa vya habari kimkakati kumtetea Samia usishangae.

Hujajiuliza kwa nini mkuu wa majeshi mstaafu aanze kuzungumzia tatizo la maji leo wakati kuna natatizo kibao hajayaongelea?
 
You are making a logical nonnsequitur fallacy. I am not unaware that the ultinate responsibility rests with civikian leaders, that is not my argument.

I am asking what did Mabeyo do?

Umeongelea jeshi ku influence public policy. Jeshi ka Tanzania kina influence kubwa sana.

Sasa hilo jeshi la Wananchi Tanzania wapi lime influence public policy kwenye jambo hili?

Kuna mwanajeshi gani hata mstaafu kaandika hata kitabu cha kuelezea matatizo haya na njia ya kuyatatua?

Mabeyo analalamikia tu tatizo, yeye mwenyewe alivyokuwa CDF alifanya nini ku influence public policy kwenye hili?

Hili ndilo swali, na hujalijibu.

Naelewa dhana ya civilian control of the military na nimeisema sana hapa, kwa hiyo sitegemei jeshi lifanyie kazi public policy moja kwa moja kwenye hili.

But where is Mabeyo's contribution?

Mabeyo ameshindwa hata kutoa an anecdotal story alivyokuwa CDF walikuwa na tatizo hili jeshini, wakalitatua hivi na vile kambi fulani, waliweka mfumo wa kuvuna maji ya mvua, ukafanya kazi, na hivyo wananchi wanaweza kugeza mfumo huo. This is not rocket science. Jeshini wangeweza kufanya hiki kwa urahisi kabisa.

Hata kutupa mfano kama huo tu kashindwa anabaki analalama kama mtu ambaye hakuwa na responsibility yoyote.
Pale ambapo hakuna political will, hakuna cha maana kinachoweza kufanyika. Serikali ya CCM kwa nyakati tofauti imewahi kupewa recommendations mbalimbali na wadau mbalimbali kuhusu mambo mbalimbali. Mwisho wa siku kila kitu kimebaki kwenye makaratasi.

Transparency kwenye nchi yetu haipo. Mara nyingi sio rahisi hata kujua nani alitoa andiko gani kuishauri Serikali. Watawala wetu wanapenda mambo mengi kuongewa in private ili isifike mahali mtu fulani akaanza kusema (with evidence), “nilikuambieni lakini hamkutaka kusikia”!
 
Mbona Warioba kasema alishauri hili na lile na serikali haikufuata?

Na kama hakuna political will hivyo, Mabeyo anasema ili iweje? Apate kick?
 
Back
Top Bottom