Mnatafuta pakuegemea kwa kila namna.GT
Huko serikalini kuna mambo hayapo sawa hili lipo waazi kabisaa.
Huyu mzee namheshimu sanaa kama naye kafika hatua ya kuongea hivi something is wrong and burning 🔥 inside samia government wazalendo wnapuuzwa
What big picture is there in this vacuous rant?If you allow yourself to get lost in minor details you surely will miss the big picture! Eliminating the mention of Lebanon and Jordan doesn’t change a thing!
Ungeweza kuruka tu, sijakulazimisha kusoma wala kukuomba ushauri wa kuandika.ungeweza kuandika kwa kifupi tu na ukaeleweka
Big picture ni economic potential ya water resources zetu!What big picture is there in this vacuous rant?
Nimekuuliza Mabeyo alifanya nini alivyokuwa CDF?
Umeshindwa kujibu.
Huelewi tu kuwa huyu msanii tu?
Sasa hicho ni kitu ambacho ulikuwa hujui na unahitaji Mabeyo akuambie?Big picture ni potential ya water resources zetu!
Mkuu,Utumishi Wake Wamiaka Yote Alishindwa Kushauri Na Kupendekeza
Leo Hii Kuongea Ukiwa Raia Wakawaida Sioni Kama Hoja Zako Zitakuwa Na Nguvu
That’s quite a narrow view of a speech. Speeches aren’t limited to educating an audience on a topic. They also are a means of motivating people to believe or act, convincing others to adopt a viewpoint or take action, and engaging an audience through storytelling or humor.Sasa hicho ni kitu ambacho ulikuwa hujui na unahitaji Mabeyo akuambie?
Yani niende kupoteza muda wangu kumsikiliza Mabeyo anaongelea kitu ambacho nakifahamu tayari? Kitu ambacho hata hawezi kukielezea vizuri anasema mto Nile unatumika mpaka Lebanon na Jordan?
Kwa nini nimsikilize huyu mtu ambaye anahubiri alichoshindwa kukitekeleza, tena anahubiri baada ya kustaafu?
Mabeyo ana utaalamu gani wa kumfanya yeye ndiye awe mtu wa kumsikiliza kwenye suala hili?
Kwa nini nimsikilize Mabeyo na nisisome kitabu cha Profesa au mtaalamu msomi anayeandika kuhusu haya mambo kwa weledi?
I can't be motivated by someone who failed to do while in office and is speechifying after retirement.That’s quite a narrow view of a speech. Speeches aren’t limited to educating an audience on a topic. They also are a means of motivating people to believe or act, convincing others to adopt a viewpoint or take action, and engaging an audience through storytelling or humor.
I don’t think you have bothered to listen to the entire speech and understand the circumstances of his speech. Had you done so, you’d have realized that this man didn’t call a press conference to criticize anyone!
Kwani maji yashaanza kutoka?Hapakuwa NA TATIZO LA MAJI; WENYE MAMLAKA walizungukwa tu
Mkuu,
Watanzania wengi wanachotwa kirahisi na kauli hizi, ndiyo maana hawa watafuta kick wanapata urahisi hata kuzisema.
Wangekuwa wanabanwa na maswali haya ya "wewe ulifanya nini?" wasingejishaua kutafuta kick baada ya kustaafu.
Kweli Kabisa Tatizo Wametuzoea sanaMkuu,
Watanzania wengi wanachotwa kirahisi na kauli hizi, ndiyo maana hawa watafuta kick wanapata urahisi hata kuzisema.
Wangekuwa wanabanwa na maswali haya ya "wewe ulifanya nini?" wasingejishaua kutafuta kick baada ya kustaafu.
Ukishatambua kwamba the truth is independent of the speaker utatoka kwenye mkwamo wa kifikra!I can't be motivated by someone who failed to do while in office and is speechifying after retirement.
Listening to such a failed juggernault dinosaur would actually demotivate me.
I would rather listen to a young fellow with some bright ideas.
You and many other Tanzanians like you have low standards.
Youe standards are so low that you will accept any puppet show that lacks originality or substance as motivational.
Mkuu Samuya ukimsikiliza akiwa anaongea na Askari CCM anawaambia wajifunze mazoezi ya kimedari, ndiyo Maana Samuya aliyoingia Ikulu akawarudisha Askari makambini akasema kwanini Askari wanafanya miradi ya kiraia, Serikali ya Awamu ya 5 ilifanya makosa kuwapa kazi za miradi JKT, Wanajeshi wanatakiwa wafanye mafunzo ya kivita tu na siyo kujenga Bara Bara, Majengo, na kilimo.Sasa kwa Akili za Samuya unafikiri Jeshi linaweza kubuni vitu vya maendeleo na Huyu Samuya hajui Kama JKT ni chombo cha uzalishaji mali kilimo na ufugaji yeye badala aware uwezo yeye anawaambia warudi kambini wakapige kwata.Alivyokuwa CDF akifanya nini kwenye tatizo hili?
Maji ni sehemu ya strategy ya usalama. Dunia inakwenda kupigana vita za kupigania maji.
Yeye alifanya nini kujiandaa na hili?
Sasa kama natambua the truth is independent of the speaker, kwa nini nimsikilize Mabeyo katika a truth that I already know na ushasemwa siku nyingi?Ukishatambua kwamba the truth is independent of the speaker utatoka kwenye mkwamo wa kifikra!
We’re just going in circles! Nimeshakuambia a speech isn’t all about educating an audience.Sasa kama natambua the truth is independent of the speaker, kwa nini nimsikilize Mabeyo katika a truth that I already know na ushasemwa siku nyingi?
Huoni kuwa wewe ndiye unavutiwa na speaker Mabeyo na unaacha kuelewa kuwa huu ni ukweli uliojulikana siku nyingi na hatuhitaji Mabeyo kutuambia hivi kinafiki?
Kuna ukweli gani mpya ambao Mabeyo kausema ambao haukujulikana kabla ya yeye kuusema?
Unakosoa nini katika ukosoaji wangu?We’re just going in circles! Nimeshakuambia a speech isn’t all about educating an audience.
Nani amekuambia mimi nimevutiwa na speaker Mabeyo? Mimi nakosoa ukosoaji wako!
Nimeshasema setting of public policy sio mandate ya JWTZ. Hilo ni jukumu la elected civilian leaders!Unakosoa nini katika ukosoaji wangu?
Mabeyo ni mnafiki anayejishebedua kueleza umuhimu wa mambo ambayo hajayafanyia kazi alipokuwa CDF, sasa kastaafu maneno mengi.
Hii ndiyo point yangu kubwa.
Sasa unakosoa nini hapo?