CDF Mstaafu Mabeyo ametaka kufikisha ujumbe. Je, wananchi tumeuelewa ujumbe?

Aibu ikamtengua kabla ya kutenguliwa saivi kimyaa asee dharau na kiburi mafikio yake mabaya
Ndugai alikuwa na dharau sana, alishawahi kumpiga mtu bakora mpaka akaanguka, kwenye mkutano wa kampeni.

Halafu, kama ile haikuwa aibu ya kutosha, akaja kukumbushia huku anajisifu.
 
ningekuwa Mabeyo ningebadili gia angani, ningeitisha uchaguzi mkuu tu ..kwamba sina imani na waliobaki...nataka mrudi kwenye uchaguzi mkuu tu😎. Ningeweka rekodi na msingenisahau milele, ningekuwa kwenye vitabu vyenu vya kumbukumbu..........bahati nzuri sikuwa CDF πŸ˜›
 
Hiyo mara nyingi ni rahisi sana mdomoni, ila kivitendo ni ngoma nzito.

Usikute opsheni zote zilizingatiwa, hitimisho likawa, Not a chance!

Je, unajua zile timu mbili kubwa zilizokuwa zikihasimiana na kuchezeana rafu za waziwazi?

Halafu hapo hujajua wale wavaa-suti nyeusi wataangukia mrengo gani.
 
Katiba Ina mapungufu ila kwa hili la Uraisi iko wazi kabisa kuwa endapo itatokea Raisi kushindwa kumiliki ofisi kwa ugonjwa kifo au Sababu yeyote Makamu ndiye anachukua
 
Magufuli alikuwa ni mwanasayansi...
Hivyo akamfafanulia CDF hiki kilichofanyika hapa ni maksudi...wameshani....hivyo nipeleke tu nyumbani....
Aah washkaji nilikuwa naota tu
 
Apewe another SILVER STAR 🌟
 
CDF kwanini kayasema Haya kipindi hiki cha uchaguzi Na si kabla
 
Preeach.πŸ˜€πŸ˜€
 
Sasa hata mkirudi kwenye uchaguzi ingewasaidia nini? Wagombea wenyewe Mwigulu Nchemba na January Makamba si mkosi mtupu huo?
 
Ndugai alikuwa na dharau sana, alishawahi kumpiga mtu bakora mpaka akaanguka, kwenye mkutano wa kampeni.

Halafu, kama ile haikuwa aibu ya kutosha, akaja kukumbushia huku anajisifu.
Kitu ambacho sitokuja nimsamehe Ndugai NI kumfuta ubunge Lisu huku akiwa kitandani anajiuguza.

Hii laana itamuandama mpaka kaburini.
 
Kitu ambacho sitokuja nimsamehe Ndugai NI kumfuta ubunge Lisu huku akiwa kitandani anajiuguza.

Hii laana itamuandama mpaka kaburini.
Hawa watu walitakiwa kupigwa tit for tat tu.

Wewe mwenzako anakula pensheni kwa sheria ya mafao ya viongozi mpaka anakufa halafu wewe unajifariji kwa kusema laana itamuandama mpaka kaburini mkuu?

Kama laana ndiyo kuishi kwa mafao hayo, hata mimi naitaka mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…