CDF Mstaafu Mabeyo ametaka kufikisha ujumbe. Je, wananchi tumeuelewa ujumbe?

Hap pamenishtu sana.

Kuna kundi lingine lilitaka kujiapisha?
 
Mwamba aliheshimu Katiba hadi Mpendwa wetu akaapishwa lakini Huyu Mpendwa juzi tu kasema Katiba Sio kitu. Ni Kijitabu tu.
 
Wewe unadhani kwa nini kawaacha? Kwa sababu ua uungwana?
 
Tumepewa ujumbe ambao ni angalizo, kuwa tunatakiwa kuiweka sawa katiba ili kila jambo liwe wazi kwenye katiba, na katiba izibe mianya yote ya tafsiri zisizokusudiwa.
Wale jamaa wanavyipindisha matokeo ya Uchaguzi kila leo wakadhani watapindisha na hilo.

Inaonekana wana nguvu kubwa na backup ya kutosha.

CDF walimwogopa sababu ana mitulinga😄😄
 
Afya ya mweshimiwa ilikuwa kwenye hatima ya vyombo vya ulinzi na usalama na sio mtu yyte mwingine , vipi hv vyombo vilikuwa vinamfikriaje ??? Nouma Sana
Msiwe wanafiki, kama wewe una hadithi mbadala juu ya siku ya mwisho ya Magufuli, iweke hadharani.
Vile vile nampongeza Jenerali kwa kutueleza ukweli.
 
Mabeyo ni mtu mwenye hofu sana ya Mungu
 
Kwa minajiri hiii ndio maana mama akaamua kuongezea naibu waziri mkuu uchaguz ujao Majaliwa
 
Katiba ambayo Samia alisema ni kitabu tu akasahau kuwa ndiyo iliyomuweka madarakani!

Ujumbe mfikishie Samia aone umuhimu wa kuwa katiba bora na si kitabu tu kama alivyoropoka!

Tukio lile la yeye Samia kutaka kuporwa mamlaka ya kikatiba ilitosha kabisa kwa yeye kuona umuhimu wa kuwa na katiba mpya yenye nguvu isiyo na mianya ya kuichezea. Lakini hali imekuwa tofauti.

Tumebahatika mara moja kwa sababu ya hekima ya CDF. Je, tutaendelea kubahatika ikitokea tena na tena? Kwa wenye hekima, tukio moja linatosha kuwa shule ya kutosha ya kuangalia mapungufu. Sisi tumekuwa kenge, tunasubiri mpaka damu itoke ndiyo tujue kuna tatizo!!
 
Wewe unadhani kwa nini kawaacha? Kwa sababu ua uungwana?
Unadhani anawaogopa? Samia siyo mwoga kama alivyokuwa Mwendazake. Magufuli alimuogopa Tundu Lissu akaona namna ya kumkabili ni kumuua. Akaishia kumjeruhi kwa risasi.

Magufuli aliogopa vyama vya upinzani, akaishia kufuta mikutano yao!! Magufuli alishindwa kujibu hoja za kugushi PhD akaishia kumuua Ben Saanane.

Samia haogopi. Ukitukana wewe tukana yeye anapiga kazi, ukimkosoa anakusikia, kama kuna tija anachukua mawazo yako.

Ndiyo maana akina Bashiru, Majaliwa na Ndugai wapo tu kwenye mfumo wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…