NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
Unajua mkuu sisi watz tunaishi Kwa kudra za Mungu Wala sio katiba kabisa Wala Sheria hazifuatwi!!Ni miaka 3 imepita tangu Rais Magufuli afariki. Ni jambo la kawaida, hasa siku ya maziko au wakati wa kutangaza kifo, kutolewa taarifa za kina za mazingira ya kifo cha marehemu, na kama pengine marehemu alitoa kauli yoyote. Haikuwa hivyo kwa Hayati Magufuli.
sasa. "Tumia akili"aliandika humid kwamba baada ya uapisho mama alipewa maelekezo kwamba 2022 "mwakani" kuwe na mwendelezo wa kuandika katiba,uchaguzi was serikali za mitaa usubiri Hadi katiba mpya ipatikane na akaambiwa aunde Binge la katiba,lakini badala ya kuanza mchakato wa katiba akaanza kampeni za kusema 2025 atagombea na the state ipo na inaona hakuna chochote kilichofanyika!!
Sasa najiuliza Ina maana huo urais ni mkubwa sana kuliko hata Dola yaani Jamhuri ya muungano wa Tz!!?
Kuna shida kubwa sana aiseh!!!
kama Rais anaweza kuamua kutofata maelekezo ya wenye Dola na akaendelea kupeta na malengo yake no hatari sana!!
kasome"operation imesitishwa the state wamesema apewe muda"Uzi wa march 28 ,2021!siku 11 baada ya jpm kufariki!