CDF Mstaafu Mabeyo ametaka kufikisha ujumbe. Je, wananchi tumeuelewa ujumbe?

CDF Mstaafu Mabeyo ametaka kufikisha ujumbe. Je, wananchi tumeuelewa ujumbe?

Maslai gani amejali

Mm ningeshukru Zaid Kama ingetokea kuwa rais awe mmbara kwa vyovyote I wavyo ila siyo makamu kuwa rais ,makamu atabaki na unakamu wake Hadi kipimdi chake kiishe

Hapa kwa mujibu wa hoja yako leo nimepata kitu kipya kbsa ilikuwa siijui
Acha ubaguzi
 
Yaani nilichojifunza wakati wa ugonjwa mpaka Rais anafariki, nchi ilikuwa na ombwe kubwa Sana. Hakukuwa mwenye Maamuzi na ndipo tunaambiwa pesa ziliibiwa Sana hapo
 
Wale jamaa wanavyipindisha matokeo ya Uchaguzi kila leo wakadhani watapindisha na hilo.

Inaonekana wana nguvu kubwa na backup ya kutosha.

CDF walimwogopa sababu ana mitulinga[emoji1][emoji1]
Yaani hapa CDF ndio angejitwalia utukufu aisee, angeadhibu wahuni wote wasionheshimu katiba
 
Tulipaswa kufanya uchaguzi mdogo, siku tutakuja kuwa na rais wa hovyo kwa sababu tu katiba inataka makamu : sio kila makamu anafaa kuwa Rais , ndio maana nchi inayumba sana kwa sasa.



Katiba mpya ni muhimu ; tukiwa na tume huru, sidhan kama CCM itapata hata asilimia 10% ya kura. EDO alitusibitishia, CCM bila wiz hawawezi kwenda ikulu
Ungefanyika uchaguzi mdogo akapatikana raisi wa hovyo, Leo hii nyimbo ingekuwa walitengua katiba. !
Huwa hamjielewi .
 
Ni ujumbe mzito, kila mtu atafakari kivyake. Hakika Mabeho alicheza game la uhakika tena la kisomi.
 
Kilichonishtuwa Mimi kumbe ingewezekana leo Ndugai ndio angekuwa Rais?

Mungu anaipenda Sana Tanzania ni heri ya huyu mama kuliko nchi ingekabidhiwa Kwa machawa, huyu Ndugai kuna kipindi alihamia Chato kabisa.
 
Back
Top Bottom