ok.🐒Boksi la Pandora kuhusu mauaji ya October 29 limeanza kufunguliwa leo. Hili boksi lina mambo mengi machafu. Lissu kuanza kulifungua kupitia ushahidi wa Heche ana makusudi makubwa sana.
Imagine IGP anaulizwa ieleze mahakama October 29 nini kilitokea?
Imagine aulizwe nani alitoa amri ya watu kuuawa?
Nani alikupa mamlaka ya kutangaza hali ya hatari? Kumbuka popote kwenye sheria za nchi so IGP wala CDF wana uwezo wa kutangaza hali ya hatari. In fact yeyote kati yao akitangaza hali ya hatari anahashiria kuwa ameipindua serikali iliyopo.
CDF ataulizwa kwanini majeshi yalizagaa mitaani? Lengo lilikuwa ni nini?
CDF kuna swali moja hajawahi kulitolea jibu, kwanini Rais akaapishwe ndani ya karakana ya jeshi? Anaweza kujibu kuwa aliamua tu ila atajikaanga vibaya mno. Yani hawa watu siku wakipanda kizimbani nameza kisu maana yatakuwa ni maajabu ya karne.
Pia naambiwa kwa hawa watu mawakili wa Lissu akiwemo yeye mwenyewe watakuwa si chini ya 10 wakiuliza maswali kwa mashahidi.
Hii siku naisubiri kwa hamu na watu wa coverage naamini watakuwa wengi zaidi.
Gerson hajakuambia la kusema?ok.🐒
eti CDF shahidi wa muhaini, dah 🐒Gerson hajakuambia la kusema?
Ok what?
Ikitokea wameenda haiwezekani pia ikamkaanga Lisu?Boksi la Pandora kuhusu mauaji ya October 29 limeanza kufunguliwa leo. Hili boksi lina mambo mengi machafu. Lissu kuanza kulifungua kupitia ushahidi wa Heche ana makusudi makubwa sana.
Imagine IGP anaulizwa ieleze mahakama October 29 nini kilitokea?
Imagine aulizwe nani alitoa amri ya watu kuuawa?
Nani alikupa mamlaka ya kutangaza hali ya hatari? Kumbuka popote kwenye sheria za nchi so IGP wala CDF wana uwezo wa kutangaza hali ya hatari. In fact yeyote kati yao akitangaza hali ya hatari anahashiria kuwa ameipindua serikali iliyopo.
CDF ataulizwa kwanini majeshi yalizagaa mitaani? Lengo lilikuwa ni nini?
CDF kuna swali moja hajawahi kulitolea jibu, kwanini Rais akaapishwe ndani ya karakana ya jeshi? Anaweza kujibu kuwa aliamua tu ila atajikaanga vibaya mno. Yani hawa watu siku wakipanda kizimbani nameza kisu maana yatakuwa ni maajabu ya karne.
Pia naambiwa kwa hawa watu mawakili wa Lissu akiwemo yeye mwenyewe watakuwa si chini ya 10 wakiuliza maswali kwa mashahidi.
Hii siku naisubiri kwa hamu na watu wa coverage naamini watakuwa wengi zaidi.
Ndio , hostile witnesseti CDF shahidi wa muhaini, dah 🐒
Itawakaanga Jamhuri. Maana wale hawapo pale kwa ajili ya Jamhuri Bali kwa ajili ya Lissu hivyo mahakama itachukua mambo ya msingi dhidi ya Jamhuri na sio dhidi ya Lissu.Ikitokea wameenda haiwezekani pia ikamkaanga Lisu?
Na Lissu atawa-cross in his favor not otherwise.Itawakaanga Jamhuri. Maana wale hawapo pale kwa ajili ya Jamhuri Bali kwa ajili ya Lissu hivyo mahakama itachukua mambo ya msingi dhidi ya Jamhuri na sio dhidi ya Lissu.
Haiwezekani,kwa sababu kwenye cross examination itamjenga sana Lissu,Kuna makosa makubwa makubwa ya kisheria yalifanyika kwa kuruhusu mauwaji ya October 29Ikitokea wameenda haiwezekani pia ikamkaanga Lisu?
Unaulizwa maswali tata...ambayo majibu yake ni balaa...Ikitokea wameenda haiwezekani pia ikamkaanga Lisu?
Watajibu SIJUI, SIJUI, SIJUI chochote watakachoulizwa.Unaulizwa maswali tata...ambayo majibu yake ni balaa...
Kumbuka ukiwa shahidi ..inabidi uandaliwe kabla... Nitakuuliza hiki jibu liwe hivi ...Sasa Hawa wanakuja kukutana na maswali bila kuandaliwa... Hivyo hujui utaulizwa kitu Gani na unatakiwa kujibu ...
Hii suala linaenda kuaibisha viongozi wa usalama... Kingai ndio mweupe kabisa kichwani
Kuna mengine watalazimishwa kujibuWatajibu SIJUI, SIJUI, SIJUI chochote watakachoulizwa.