Hili si ajabu mkuu,kama midahalo tu ya wagombea wa nafasi za sensitive huwa inakimbiwa utegemee kwenye mahakama ambapo kila unachonena kinabadili uelekeo wa kesi.Huku kwetu mienendo ya kesi mahakamani ni kujificha hawataki vitu live mubashara. Tujiulize ni kwanini ?
Kwetu bado na tutachelewa sana.
