CDF na IGP kwa uelekeo huu kamwe hawatopanda mahakamani kwenye kesi ya Lissu

Unaulizwa maswali tata...ambayo majibu yake ni balaa...

Kumbuka ukiwa shahidi ..inabidi uandaliwe kabla... Nitakuuliza hiki jibu liwe hivi ...Sasa Hawa wanakuja kukutana na maswali bila kuandaliwa... Hivyo hujui utaulizwa kitu Gani na unatakiwa kujibu ...

Hii suala linaenda kuaibisha viongozi wa usalama... Kingai ndio mweupe kabisa kichwani
Wataandaliwa na mawakili wa serikali lakini ni mashahidi wa mshtakiwa. Hii ngoma ngumu sana.
 
Boksi la Pandora kuhusu mauaji ya October 29 limeanza kufunguliwa leo. Hili boksi lina mambo mengi machafu. Lissu kuanza kulifungua kupitia ushahidi wa Heche ana makusudi makubwa sana.

Imagine IGP anaulizwa ieleze mahakama October 29 nini kilitokea?

Imagine aulizwe nani alitoa amri ya watu kuuawa?

Nani alikupa mamlaka ya kutangaza hali ya hatari? Kumbuka popote kwenye sheria za nchi so IGP wala CDF wana uwezo wa kutangaza hali ya hatari. In fact yeyote kati yao akitangaza hali ya hatari anaashiria kuwa ameipindua serikali iliyopo.

CDF ataulizwa kwanini majeshi yalizagaa mitaani? Lengo lilikuwa ni nini?

CDF kuna swali moja hajawahi kulitolea jibu, kwanini Rais akaapishwe ndani ya karakana ya jeshi? Anaweza kujibu kuwa aliamua tu ila atajikaanga vibaya mno. Yani hawa watu siku wakipanda kizimbani nameza kisu maana yatakuwa ni maajabu ya karne.

Pia naambiwa kwa hawa watu mawakili wa Lissu akiwemo yeye mwenyewe watakuwa si chini ya 10 wakiuliza maswali kwa mashahidi.

Hii siku naisubiri kwa hamu na watu wa coverage naamini watakuwa wengi zaidi.
Nchi ichangamke kidogo tu, asante sana wana nzengo
 
Na endapo wataenda watawala hawatamuacha Lisu salama, kumbuka hapa malawi mihimili yote iko chini ya muhimili uliojichimbia chini zaidi
 
wasipoenda, kesi nayo inakuwa imeishia hapo. majaji watatoaje HUKUMU wakati kuna mashahidi wa upande wa utetezi hawajafika mahakamani kutoa ushahidi wao.

ila Tz tuna wasomi wajinga sana- (mfano hao walioifremu hiyo kesi) Lissu amethibitisha u- genius wake
Hapa sijaelewa vizuri naomba kueleweshwa

Mashahidi upande wa mshitakiwa kama hawajahudhuria kwenye kutoa ushahidi nani anaathirika hapo kati ya mshitakiwa na mshitaki?
Inakuwaje iwe mwisho wa kesi?
 
Boksi la Pandora kuhusu mauaji ya October 29 limeanza kufunguliwa leo. Hili boksi lina mambo mengi machafu. Lissu kuanza kulifungua kupitia ushahidi wa Heche ana makusudi makubwa sana.

Imagine IGP anaulizwa ieleze mahakama October 29 nini kilitokea?

Imagine aulizwe nani alitoa amri ya watu kuuawa?

Nani alikupa mamlaka ya kutangaza hali ya hatari? Kumbuka popote kwenye sheria za nchi so IGP wala CDF wana uwezo wa kutangaza hali ya hatari. In fact yeyote kati yao akitangaza hali ya hatari anaashiria kuwa ameipindua serikali iliyopo.

CDF ataulizwa kwanini majeshi yalizagaa mitaani? Lengo lilikuwa ni nini?

CDF kuna swali moja hajawahi kulitolea jibu, kwanini Rais akaapishwe ndani ya karakana ya jeshi? Anaweza kujibu kuwa aliamua tu ila atajikaanga vibaya mno. Yani hawa watu siku wakipanda kizimbani nameza kisu maana yatakuwa ni maajabu ya karne.

Pia naambiwa kwa hawa watu mawakili wa Lissu akiwemo yeye mwenyewe watakuwa si chini ya 10 wakiuliza maswali kwa mashahidi.

Hii siku naisubiri kwa hamu na watu wa coverage naamini watakuwa wengi zaidi.
Kuna wakati raisi mstaafu alipanda kizimbani kutoa ushahidi, wengine vipi?
 
Hapa sijaelewa vizuri naomba kueleweshwa

Mashahidi upande wa mshitakiwa kama hawajahudhuria kwenye kutoa ushahidi nani anaathirika hapo kati ya mshitakiwa na mshitaki?
Inakuwaje iwe mwisho wa kesi?
mshtakiwa ndiye atakayeathirika. Ni haki ya mshtakiwa kuletewa mashahidi wote atakaowataja. sio kazi ya Mahakama kusema "mashahidi hao sio relevant". Anayejua u relevancy wa mashahidi ni yule anayewaita
 
Boksi la Pandora kuhusu mauaji ya October 29 limeanza kufunguliwa leo. Hili boksi lina mambo mengi machafu. Lissu kuanza kulifungua kupitia ushahidi wa Heche ana makusudi makubwa sana.

Imagine IGP anaulizwa ieleze mahakama October 29 nini kilitokea?

Imagine aulizwe nani alitoa amri ya watu kuuawa?

Nani alikupa mamlaka ya kutangaza hali ya hatari? Kumbuka popote kwenye sheria za nchi so IGP wala CDF wana uwezo wa kutangaza hali ya hatari. In fact yeyote kati yao akitangaza hali ya hatari anaashiria kuwa ameipindua serikali iliyopo.

CDF ataulizwa kwanini majeshi yalizagaa mitaani? Lengo lilikuwa ni nini?

CDF kuna swali moja hajawahi kulitolea jibu, kwanini Rais akaapishwe ndani ya karakana ya jeshi? Anaweza kujibu kuwa aliamua tu ila atajikaanga vibaya mno. Yani hawa watu siku wakipanda kizimbani nameza kisu maana yatakuwa ni maajabu ya karne.

Pia naambiwa kwa hawa watu mawakili wa Lissu akiwemo yeye mwenyewe watakuwa si chini ya 10 wakiuliza maswali kwa mashahidi.

Hii siku naisubiri kwa hamu na watu wa coverage naamini watakuwa wengi zaidi.
Kwa maelezo hayo,basi Heche akimaliza kutoa ushahidi kesi itafutwa.DPP atawasilisha Nolle Prosequi.
 
MFANO NI HUU WATU WA VYOMBO WAKIPELEKEWA MOTO MAHAKAMANI

View: https://m.youtube.com/watch?v=NccKrdx5VR8

During an intense cross-examination, defence lawyer Shadrack Wambui cast serious doubt on the credibility and competence of cyber-forensic analyst Juma Mwajirani, whose report forms part of the evidence against political commentator Nuru Okanga.Wambui began by asking Mwajirani to state the specific charges Okanga faced. The analyst initially relied on a DCI request letter that cited publication of false information and cyber harassment, but later retracted his answer, admitting he did not actually know the charges.

Lawyer Shadrack Wambui Dismantles Cyber forensic Analyst in Nuru Okanga’s Case

View: https://m.youtube.com/watch?v=fGvmL6yviqA

key facts, including whether he knew that Rigathi Gachagua is a former District Officer and former Deputy President details he conceded he did not know. When questioned about his understanding of “inflammatory” content, Mwajirani added that he does not know how to use a gun and that “not everyone shot with a gun dies,” a statement that raised concerns over the basis of his analysis.

On the technical front, the analyst confirmed that TikTok and YouTube accounts can be created without Gmail, acknowledged that the videos in question were posted by Diff Media and Riba News, yet admitted he did not access or identify the owners of those accounts. Of the 22 comments under the videos, he included only three in his report prompting Wambui to question whether the investigation was selectively conducted.

Wambui also highlighted a glaring discrepancy: the DCI request letter used by Mwajirani was dated 2023, even though the case pertains to 2024. The defence argued that such inconsistencies reflect a poorly handled and unreliable investigation.

26 November 2025
Lawyer Abner Mango Discredits Cyber Analyst Over Flawed Report in Nuru Okanga’s Case

View: https://m.youtube.com/watch?v=F4HV4Bo0L6w
Defence lawyer Abner Mango, together with other lawyers representing Nuru Okanga, challenged the credibility of analyst Juma Mwajirani’s report, arguing it was incomplete and selectively focused on Riba News while ignoring Diff Media, despite both being linked to the disputed video.

Mango questioned why Mwajirani did not investigate who owns the accounts or whether Okanga had any connection to them.

The defence also raised concerns about the handling of Okanga’s seized phone. Mwajirani admitted he never examined the device, checked for malware, or verified whether other users could access it gaps the defence argued undermine the integrity and reliability of his analysis.

View: https://m.youtube.com/watch?v=CJNiDPTw66E

cyber forensic expert’s report in the case against political commentator Nuru Okanga was severely weakened today after a blistering cross-examination by defence lawyer Hon. Babu Owino.Cyber and digital forensic analyst Juma Mwajirani came under intense scrutiny as Babu methodically poked holes in both his qualifications and his conclusions. The defence questioned the credibility of Mwajirani’s certification, pointing out that the institution he cited does not issue forensic analyst credentials.Babu further discredited the report by highlighting glaring inconsistencies—among them, the use of a 2023 reference letter to support an investigation conducted in 2024

02 July 2026

Deal Ruthlessly With DCI.Orengo Tough Question to Ruto DCI Officer In Court While Representing Bob

View: https://m.youtube.com/watch?v=ZH5rUg3NSGs

Source : Court Helicopter

Huu moto ni hatari,i bet kwetu hautaruhisiwa uwake!
🫡
 
Salaleh

Wewe Bagamoyo ni mzushi na mfitini hadithi za hakina Kombe na mimi wapi na wapi.

Pambaneni ni mfumo wenu ulio oza bila ya kutuingiza hakina sisi tusio na uwezo wowote.

Live / mubashara ni kusaidia raia na pia watu wa vyombo kupata elimu bure ya kisheria japo kidogo ktk mfumo wa haki jinai ukifanya kazi chini ya kiwango ninj kitakukumba ukiwa kizimbani unahojiiwa na mawakili kama Nassoro Katuga au Tundu Antipas Lissu jamii itakuona katika uhalisia wako .
 
CDF ataulizwa swali moja tu. Yupo wapi afande Tesha
Ivi mulimuamini Cpt Tesha? Hakuna mchaga kamanda wa vita kamanda ametuahidi atarudi kabla ya uchaguzi mpaka Leo kimya Watanzania wengi wajinga sana.
 
Back
Top Bottom