CDF na IGP kwa uelekeo huu kamwe hawatopanda mahakamani kwenye kesi ya Lissu

Kwani li
Kumbe Lissu atakuwa na mawakili?
 

Hii watuwekee live kwenye luninga.
 
Salaleh

Wewe Bagamoyo ni mzushi na mfitini hadithi za hakina Kombe na mimi wapi na wapi.

Pambaneni ni mfumo wenu ulio oza bila ya kutuingiza hakina sisi tusio na uwezo wowote.
 
CDF, IGP na DCI wanaenda kuithibitishia mahakama jinsi jeshi na polisi ambavyo ni vyombo vya serikali vinatumika kukandamiza upinzani.
Maswali aliyouliza Mh Lisu kwa mashahidi wake ambayo mashahidi walielezea kuhusu kukamatwa, kupigwa, kulala mahabusi na baadaye kuachiliwa, yataulizwa kwa kuzingatia PGO kwa IGP na DCI.
Na hapa ndipo itakapothibitika bila shaka kwamba jeshi la polisi linatumika kuwakandamiza CHADEMA.
TUSUBIRI.
 
Kuthibitisha ushahidi wa jinai mbele ya mahakama sio rahisi kama upuuzi wa michango ya J.F kwa kesi ya Lissu.

Kuwatwanga vilaza wanasheria wa serikali wala sio issue, kwa mashtaka ya Lissu.

Hao ni watu ambao contract law tu inawasambue, ije kuwa changamoto za criminal cases.

Kilichopo kwenye mashitaka ya kesi
Lissu ni ujinga mtupu.

Maswala ya criminal case ni evidence bases on accusations; sio ujinga unaoendelea mahakamani kwenye kesi ya Lissu.

Ujinga mtupu
 
amejichelewesha sana
Wanafanya hivyo kwa makusudi na wala siyo bahati mbaya. Yaani Lissu aseme Magufuri ni dikiteta UCHWARA lkn alitoka salama licha ya yule jamaa kumpania leo hii mtu mwingine aweze kumfunga!

Wanamchelewesha tu ili ionekane bayana kuwa siyo tu kwamba wanasheria wetu huwa wanagalagazwa huko ughaibuni,bali hata nyumbani LISSU anawagalagaza sanaaaaaaa.
 
Wafute kesi mambo yasiwe mengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…