CDF na IGP kwa uelekeo huu kamwe hawatopanda mahakamani kwenye kesi ya Lissu

Huku kwetu mienendo ya kesi mahakamani ni kujificha hawataki vitu live mubashara. Tujiulize ni kwanini ?
Hili si ajabu mkuu,kama midahalo tu ya wagombea wa nafasi za sensitive huwa inakimbiwa utegemee kwenye mahakama ambapo kila unachonena kinabadili uelekeo wa kesi.
Kwetu bado na tutachelewa sana.
 
Hawa viongozi kama wangekuwa na akiri basi kuanzia leo wangeacha kusikiliza maelekezo ya wanasiasa wakazingatia sheria,
Katika sakata la kesi ya Lissu, mahakama imewatoa wana siasa wotee, wamebaki wakuu wa vyombo wakajitetea wenyewe, wakaseme nini kilitokea oct 29, na kuna nini kwenye kesi ya Lissu.
 
HAkuna atakayeruhusiwa hata kusogelea viunga vya mahakama
HAwawezi kuzui watu make mahakama ni ya Wazi pia Lissu hatokubali kuendelea na kesi...kazi kwao.
 
ila Tz tuna wasomi wajinga sana- (mfano hao walioifremu hiyo kesi) Lissu amethibitisha u- genius wake
Aliye frame hii kesi ni form four failure, ana certificate ya kutengeneza compressor za mafriji halafu ana degree ya sheria ya mchongo 😂😂😂
Na vi certificates vya vyuo ambao havitambuliwi na NACTE

Unategemea nini hapo
 
Mimi ndio niliowapa akili ya kumtungia Lissu hao mataahira serikakilini ku-exploit angle ya kesi ya uhaini juu urupokaji wa wake.

Na mimi pia nina uwezo wa kuizima hiyo kesi (believe it or not).

The rest ni upuuzi tu kutoka kichwani kwako; ain’t nobody cares.
 
Nilisema kuwa hawatatokea
 
Kuna haja kuwa na kipengele kwenye katiba kulazimisha mahakama kutenda majukumu yake kwa uhuru ikiwemo kurushwa kesi kubwa kama hizi Live kwa ajili ya manufaa ya Wananchi mbona nchi zingine Iko hivyo, kwanini kwetu iwe tofauti?
 
Watajibu SIJUI, SIJUI, SIJUI chochote watakachoulizwa.
Hujui Sheria zako za jeshi au PGO 🤣🤣🤣🤣. Itabaki kwenye historia kuwa mkuu wa vyombo vya ulinzi na usalama hajui chochote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…