CDM mkiendelea kutumia jeshi la mtu mmoja hakika mtaanguka asubuhi na mapema.

Gentleman,
tangu kuanzishwa kwa chadema,

Jukumu kubwa la wenyeviti wa chadema wa kanda, mikoa na wilaya ni kuwasubiri na kuwapokea viongozi wa chadema taifa. Full stop.🐒
Lipigwa miti limemkimbia mama yake aliyepinda mdomo baada ya kupata pigo la Mungu.
 
Si unaona watu wao wengi wamekamatwa
 
Najua wewe ni mtu wa Mbowe na utakuwa una ajenda nyuma ya huu ushauri wako. Hebu kwanza tukazane wauaji walioua watanzania 29/10 wapate haki yao.
Na wewe ni mtu wa Heche sio..!

So, Chadema iko na vipande viwili siku hizi!.

Safari bado ndefu sana. CCM wataendelea kuwepo muda mrefu sana.

Huwezi kumwambia mtu tusonge mbele na safari yetu ikiwa umeshamtenga kwa kumuita yeye ni mtu wa fulani.

Hiyo safari yenu ni ya mashaka tu, haina maana, haitawafikisha popote.
 
Wewe upo wapi? Mbona viongozi wengi wanafanya mikutano au kwa sababu hawatangazi.
 
Mikutano ilizuiliwa
 
Wewe wasema. Kama umeshasema CCM itaendelea kuwepo Sasa mambo ya CHADEMA yanakuhusu Nini?. Endelea na CCM yenu huko.
 
Wewe wasema. Kama umeshasema CCM itaendelea kuwepo Sasa mambo ya CHADEMA yanakuhusu Nini?. Endelea na CCM yenu huko.
Kila mwenye wazo tofauti - CCM.

Hamna thinking ya tofauti!.

Same old!.
 
Kojoa ukalale. Nakupiga block ukirudia ukibaraka wako wa Mbowe kulamba-lamba makombo ya Abdul. .
 
Kojoa ukalale. Nakupiga block ukirudia ukibaraka wako wa Mbowe kulamba-lamba makombo ya Abdul. .
Nilichoandika umeshindwa kujibu hope umejiona ulivyo kiazi. Wajinga mnaoshikiana akili miaka humu.

Ndio maana umeitwa hauna akili, unanitisha na block mimi.. Kawatishe wajinga wenzio.

Akili yako inamuwaza Mbowe tu, nenda kaoshe vyombo kwake then piga hiyo block yako now.. mshamba wewe!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…