Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,480
- 4,775
Sio leo tu,hata game na El Mereikh......Kwa kweli leo Yanga hawakuwa vizuri kabisa!
Ndala kabahatisha 2.
Wadau wa soka la bongo naomba tufahamishane, ni timu ngapi na utaratibu gani utatumika kupata 8 za robo fainali toka makundi 3 yaliyopo ya Kagame Cup?
Red sea na Vatal'O mpira umeisha na Redsea kuibuka mshindi kwa gori 1-0Leo vipi matoke wakuu...